Taratibu za kuanzisha tawi la Timu ya Mpira

fundi msati

JF-Expert Member
Aug 22, 2013
203
67
Wadau bila shaka mko poa kama mimi, poleni kwa wenye changamoto za kidunia kikubwa muumba awape subira.

Wakuu hapa kwetu tunawazo la kuanzisha Tawi la Wapenzi na Wanachama wa timu fulani hivi moja kati ya timu zetu kubwa hapa TZ, ila tunahitaji tufuate taratibu bila shaka zipo ili tuweze kuwa na tawi linalotambulika na timu husika.

TUNAOMBA MUOGOZO USHAURI ILI TUWEZE KUFANIKISHA LENGO LETU.
 
Back
Top Bottom