Taratibu za kuanzisha Redio nchini Tanzania

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Wakuu
Mie najiuliza sana hivi taratibu za kuanzisha redio ambayo siyo ya kijamii nchini Tanzania zikoje.

Kwani najisikia kuwa na mpango huo lakini sijui A wala B.Suala la vifaa na mtaji siyo shida tatizo ni kupata usajiri ,nafanyaje kwani website ya TCRA haina maelezo yoyote na siko Jijini Dar(Bongo)
 
Unaweza kusogea pale LUMUMBA office zenu za CCM watakwambia jinsi walivyoanzisha TBC na Clouds fm etc
 
Kwenye website kuna Telephone contact. Piga simu uliza hope utaunganishwa na muhusika ambaye atakukupa maelekezo
 
Unaweza kusogea pale LUMUMBA office zenu za CCM watakwambia jinsi walivyoanzisha TBC na Clouds fm etc

Hili siyo jukwaa la siasa,kama hujui si ukae kimya,wabongo kila kitu siasa tu jamani mbadilike

Hata kama ni kutoa maoni wengine mnaboa sana
 
PM me.

DSM hakuna masafa. Ila TV unaweza. Digital.

Mikoani unaweza anzisha Radio. Inategemea ni Mkoa au wilaya gani.
 
Back
Top Bottom