Taratibu: Uuzaji nyumba, viwanja na mali nyingine

kALEnga kidamali

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
542
733
Hivi ni vitu gani tunapaswa kuvizigatia kwa wakati wa kuuza ama kununu mali kama vile nyumba , viwanja, shamba,n.k

Hapa tujuzane taratibu zinazohusika ikiwemo aina za document zinazohusika wakati wa mauziano

Nimehoji hayo kwasababu kumekuwa na wapigaji na matapeli wengi mijini kiasi kwamba usipokuwa makini unaweza ingizwa mjini na ukabaki na machungu yasiyo isha huku ukishindwa kujua ufanye nini. Huku maburungutu yako yakiwa yametoweka
 
Nawasbr hapa kwa ham kuuuuubwa

Ila bahat mbaya humu nyuzi za aina hii huwa hazipati wachangiaji wengi sijajua ni kwanini
 
Back
Top Bottom