Taratibu sahihi za kumfukuzisha mfanyakazi

FADHILI KIKA

Member
Jun 10, 2013
6
0
Hivi jamani ni upi ni utaratibu sahihi wa kumfukuza mfanyakazi wako ambaye ameshakutumikia zaidi ya mwaka mmoja na nusu hivi,ili sheria isikubane?
 
Back
Top Bottom