Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,113
- 24,642
Wakati mnara wa Babeli ukiwa unajengwa, Mungu aliamua kuwaadhibu waliokuwa wakiujenga ule na mnara kwa kuwavuruga kupitia lugha na hatimae kutokana na kushindwa kuelewana, waliokuwa wakiujenga wakaanza kuubomoa na ikawa ndio mwisho wake!
Ccm kama ilivyojinasibu kuwa inasafisha chama, naona anguko kuu likija!..
Mwaka 2020 Magufuli atashindwa vibaya sana urais, haya mambo yanayowndelea nani atakuwa mvumilivu kwa miaka mingine mitano baada ya 2020?
Endapo Magufuli atashinda tena, hii nchi itaingia kwenye kipindi kingine kibaya zaidi ambacho hakijawahi tokea, atazidi kuisigina katiba anavyotaka na siyo ajabu akabadili gia angani na kuibadili katiba ya nchi kimabavu ili pengine atawale zaidi ya miaka 10!
...lugha changanya naam 2020 tuvunje mnara!!