Tar 13 feb siku ya kuomba radhi mliotoka nje ya ndoa zenu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Serikali ya japana imetangaza tar 13 iwe siku ya kuomba radhi kwa wenza wote wanaojua waliwahi kutoka nje ya ndoa zao ;hii ni kabla ya kuingia tar 14n siku yawapendanao ,...tar hii imepangwa rasmi siku ya maadhimisho kuomba radhi .ewe baba ewe mama wewe ndie unaejua ;usiingie FEB 14 ukiwa na unajisi mkononi;omba toba kwa mwenzako ili uweze kuisherekea tar 14 feb ukiwa na amani.....
Nawatakia heri wanandoa wote watakaopata moyo wa kuomba radhi

Valentine njema
 
Dah mm naona Tar.14/Feb ndoa nyingi mpya zitaanza na za zamani kufa kabisa.
 
Bora iwe huko huko Japan maana huku bongo subutu, hivyo vita vitakavyotokea cjui nani ataweza kuamua.
 
Tarehe 14/2 huwa inatumika vbaya sana na wabongo.

Ni wachache sana wanaojali familia zao za ukweli...most of people huwa ndo siku ya kudumisha mahusiano yasiyo rasmi, na wengi wao huwa wanashindwa pa kwenda siku hiyo maana mtu anakuwa na wapenzi zaidi ya wa4!...

Kimsingi, wazo hili ni zuri, only if it will mean it!
 
tarehe 14/2 huwa inatumika vbaya sana na wabongo.

ni wachache sana wanaojali familia zao za ukweli...most of people huwa ndo siku ya kudumisha mahusiano yasiyo rasmi, na wengi wao huwa wanashindwa pa kwenda siku hiyo maana mtu anakuwa na wapenzi zaidi ya wa4!...

kimsingi, wazo hili ni zuri, only if it will mean it!


pk hii siku ndoa nyingi tunazisahau .watu wanatangaza safari za gafla toka tar 12 kuwakimbia wake zao ukikuta mke anaongozwa na mungu unashangaa anatoka na watoto wake wanamkuta baba akiwa na kigoli patamu
 
Back
Top Bottom