TAPSOA yakiri kuwepo kwa tatizo la ukosefu wa Nishati ya mafuta ya taa

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Habari wakuu,

Siku moja baada ya wananchi kulalamika kukosekana kwa nishati ya mafuta ya taa katika vituo vya kuuza mafuta katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam chama cha wauza mafuta rejareja nchini TAPSOA kimekiri kuwepo kwa tatizo la ukosefu wa nishati hiyo ambalo linachangiwa na ingizaji wa mafuta mdogo

 
Back
Top Bottom