Nina kinyongo na Erickb52 na Arushaone waliniahidi kreti ya Ndyofu kwa msisitizo Ndyofu na mpaka leo sijaliona wasikatishe mitaa ya unga lelo watarudi uchi bila hata boxer maana nawaagiza vijana wangu wawavue kila kitu na wawavutishe cha arusha
Halafu nina hasira sana na Mungi kanisemea kwa nitonye eti naendaga kwenye kwaya na sweetlady
Kipipi njoo chemba uchukue zawadi ya Christmas