Tapeli anayetumia jina la Airtel, watumiaji wa Airtel muwe makini

Linamo

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
9,976
24,494
Nimetumiwa SMS sita na namba +255692285114
768ae4b9ec84597d68b527a9ff0aad83.jpg

Huyu mtu nimeshamripoti kwa Airtel maana nimempigia simu anajidai kuongea lafudhi ya kikenya nilivyomuuliza jina lake akawa mkali sana akakata simu.

Tafadhali muwe makini maana na jua hili ukipata SMS ya mil 5 lazima uchanganyikiwe ila ukiingia kingi ndo ushaliwa.
 
Nimetumiwa SMS sita na namba +255692285114
768ae4b9ec84597d68b527a9ff0aad83.jpg

Huyu mtu nimeshamripoti kwa Airtel maana nimempigia simu anajidai kuongea lafudhi ya kikenya nilivyomuuliza jina lake akawa mkali Sana akakata simu.
Tafadhali muwe makini maana na jua hili ukipata SMS ya mil 5 lazima uchanganyikiwe ila ukiingia kingi ndo ushaliwa.

Sasa kama sio unundq wewe io sms imetoka mtandao gani? Mambo mengine hata si yakuumiza kichwa sana yani.
Alafu unaambiwa mpigie? Mtandao unashindwa kukupigia?
 
Wapo watu wengi walioingia kwenye utapeli wa namna hiyo kama hutakuwa makini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom