Tape video za muhimbili zawa tishio la chuo cha mkwawa

Ndokeji

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
698
475
Tape video za wanafunzi wa chuo kikuu cha muhimbili walioshiliki kwenye mgomo wa tar 8 na 10 december na kuzuia research day na mahafari ,mkuu wa chuo cha mkwawa amewatangazia wanafunzi wake yoyote atakayegoma atarekodiwa na kufukuza au kusimamishwa masomo kama muhimbili walivofanya kwa wanafunzi 66 waliowasimamisha,kwasababu technologia imekuwa
 
Hawa wanatengeneza bomu ,siku likilipuka kitaeleweka tu.
 
Good work. Hawa watoto tukiwaendekeza watatupanda kichwani.
 
habari za kiintelijensia ambazo ni wimbo wa serikali ya kishkaji kutishia uma.
 
Hawa wakuu wasifanye nchi hii kama mali yao , wanataka kuwafanya wanafunzi kama wanyama wasioweze hata kupata haki zao za msingi. Waache mambo ya kutishiana ,hapa hakuna mtu wa kutishiwa bwana
 
Hakuna mtu wa kumutishia wasubiri 2015 aondoke anayewapa kibuli ili kunyanyasa ,kufukuza,kusimamisha wanafunzi watakiona cha moto ,hakika tutakufa nao ,wajiandae vita
 
Back
Top Bottom