TanzMED Doctors wapo tayari kujibu maswali yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TanzMED Doctors wapo tayari kujibu maswali yako

Discussion in 'JF Doctor' started by Kilongwe, Jun 23, 2011.

 1. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ndugu wana jamii,timu nzima ya TanzMED imekamilisha hatua nyingine bora zaidi ambayo itawawezesha wanajamii kuwasiliana na daktari moja kwa moja.Tumefikia hatua hii baada ya kupata maoni toka kwa watu wakisema kuna baadhi ya magonjwa ni ya siri na ni ngumu kuyaweka hadharani.

  Hivyo kama una tatizo,unaweza kuwasiliana na kundi la Madkari wa TanzMED bila gharama kwa kwenda HAPA

  TanzMED -Admin
   
 2. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Asanteni wakuu kwa kutuletea huduma hapa karibu!! Nna maswali mawili, moja- nini madhara ya kutumia viagra? Na je ni vibaya hata kama utatumia mara moja moja?Swali la pili- nna rafiki yangu kila akiwa na galfriend wake wanado fresh bila tatizo lolote,but akitoka na msichana mwingine jogoo anagoma kuwika,je hilo ni tatizo gani? Nini tiba yake? Nawakilisha!!!!
   
 3. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #3
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  mh!...
   
 4. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mkubwa unaweza kutuma tiketi kwa kutumia linki niliyoweka juu au kwa kwenda Hapa
   
 5. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  sio rahisi kuelewa namna yakutumia site... tunashukuru lakini kwa initiative ila mi ningependa sana kama mnaweza kua na id hapa jamii forum tuwaulizie hapa paha.
   
 6. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  -Kuuliza maswali ya afya moja kwa moja kwa kutumia TanzMED Forums
  -Kuwasiliana na kufuatilia muendeleo(feedback) wa tatizo lako kwa kutumia mtinfo wa tiketi,Tuma tiketi
  -Kujumuika,kubadilishana mawazo,matukio,picha nk na wanajamii wa TanzMED
  -Tuma,tafuta au toa ushauri juu ya huduma mbalimbali za afya kwa kutumia Kitabu cha njano
  -Pata taarifa(Zenye uhusiano na afya) juu ya skolashipu,kazi,mishusho,blogs nk
  -Mafundisho ya mapishi,sayansi ya chakula,urembo na ushauri nasaha
  -Tuma maoni moja kwa moja juu ya masuala ya afya yanayokutatiza
   
 7. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2011
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Jamani asanteni sana kwa jitihada zenu ma Dr.wetu wa Tanzania na ma Dr.Bingwa,
  Naomba kuuliza haya yanayonikera
  Hivi hzi cases ambazo mtu anakuwa diagnose na ugonjwa fulani na dr. na anaacha kufuatilia treatment na moja kwa moja na anakwenda ku seek second opinion ilikuwapo tangu zamani au umekuja siku hizi tu na je ni kwa nini?Maana akienda nje akasema nyumbani aliambiwa ana cancer na nje akaambiwa hii ni just infection akapewa dawa ya siku 3 akapona si tunajiaibisha na kupunguza confience ya ma Dr.wa TZ kwa nchi hizi?

  Nimekutana na watu wengi sana nje ya nchi wakihaha either kwa kujikuta walikuwa wamekatishwa tamaa na ma Dr. wa serikali na private na wengine wameishakuwa operated au kukatwa na viungo aambavyo havirudi tena au kukutwa mtu ameishatiwa hofu ya migonjwa mikubwa kama cancer wakati si kweli au mwingine ameambiwa ni ugonjwa mdogo kumbe ni bonge la ugonjwa hii inatokana na nini?maana magonjwa watu wanayokwenda kutibiwa nje ni aibu kuyataja mengi ni ya kawaida sana na isingetakiwa kuyepeleka nje e.g breast cancer,prostate cancer,macho etc shida ni nini?ni kwamba ma Dr.wetu wakiwa wamechoka anakuandikia chochote au ni nini,maana kwa vitu hivi hatuhitaji vifaa vikubwa kufanya diagn. au ni sisi wagonjwa ndio wenye matatizo?
   
Loading...