Tanzia: Zakaria Ndemfoo wa Machame Kisiki

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
18,386
21,869
ZAKARIA NDEMFOO wa MACHAME KISIKI haya majina mawili likiwa la mtuma salami maarufu duniani kupitia idhaa za kiswahili za Marekani, Uingereza, Afrika Kusini, India, Sauti ya Ujerumani, Radio China na Sauti ya Injili (Ethiopia) na redio za Afrika Mashariki miaka ya sitini na kuendelea alifariki tarehe 17 / 01 / 2020. Mzee Zakaria ndiye mtanzania pekee aliyekuwa maarufu masikioni mwa watu duniani, enzi hizo Zakaria Ndemfoo na Machame Kisiki vilizagaa kwenye anga duniani na lugha ya kiswahili japo wengi hawakujua alikieneza kiswahili kwa njia ya salamu kupitia redio.
PUMZIKA PEMA MZEE ZAKARIA NDEMFOO.
 
Mbona Mimi nilipata taarifa za kifo chake mwaka Jana katikati, tena mchangiaji humu aliigusia tu kifo chake. Mods embu fuatilieni hiki kifo cha lini. Nipo dunia nyingine mimi?
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom