TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

sidhani ukiona ndoa ina matatizo miaka 4 ujue shida ni kubwa inawezekana ameshatoa malalamiko mpaka kwa ndugu ikashindikana.....kuna mambo mengine huwezi ongea hata kwa marafiki wa karibu badala ya kukusaidia watakucheka tu unaweza kumueleza rafiki yako wa karibu shida za ndoa yako akaishia kukutangaza na kukucheka
hiyo ego ndo inawafanya mjiue sa
 
Baba mzazi wa Yona yupo vizuri sana kipesa pia hisipokua , alioa mke mwingine Yona na. Ndugu zake wa mama mmoja na mama Yao ambae ni mke wa ndoa wakatelekezwa baba akawa anajali zaidi watoto wa bi mdogo. watoto wote wa bi mdogo wamesoma University England na huko Tanzania walisoma feza international baba yake Yona ndio yule mmiliki wa Fares Kisingo international school (Fk international ) mbezi beach
kumbe duh
 
Wewe uliona wapi mwanaume anasifia ati anapewa mamilioni na mwanamke kama siyo rimarioo tu! Halafu hapa JF kila uzi ni kupinga Serikali ya Magu as if ndiyo ilimfanya marioo! Kitu nimegundua hapa JF upinzani ni hasira, ukiona mtu anapiga madongo Serikali jua kuna pahala amekwazika na lawama anazishusha kwa Serikali. Sijawahi kuona maishani Mwananchi anaomba nchi yake inyimwe misaada na itengwe! Huku ni kutoona mbali kwani atakayeumia mwisho wa siku si kiongozi ni sie makasembele! Good morning
 
Kuna taarifa kuwa Yona F. Maro ambaye ni mwanaJF na muasisi wa Wanabidii, Google Group amefariki dunia jana tarehe 12 January 2018.



Mazishi yatafanyika Jumatatu tarehe 15 Januari Kijijini kwao Mowo, Old Moshi - Kilimanjaro.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa Jina Lake lihimidiwe.

Natoa pole kwa familia, ndugu na jamaa wa karibu wa marehemu

Chanzo ni ukurasa wa Facebook wa dada yake na Yona: Janet Fares Maro

RIP Muasisi wa kuunganisha Wachaga. It is through Wanabidii, wachaga wamelishwa sumu ya kuichukia Tanzania na Moshi.
 
ongezea na uchoyo, yaani mimi MR , tarehe tano tu mwanzo wa mwezi kabisa hana hata mia,

mshahara wote akipata anagawanya kwa ndugu zake hata yeye mwenyewe anajisahau atakula nini, hapa nyumbani kama usiponunua chakula hamli nakwambia,basi nilifanya kama naishi mwenyewe tu, mipango ya maendeleo na bajeti nzima ya nyumbani napanga kwenye mshahara wangu, na toka nimeamua kufanya hivyo aah moyo wangu umetulia na mbambo yaenda vizuri tu
Mwanamume anakula mshaara wake wotena ndugu ?kweli ?tafakari wanaume ni wajanja sana.
 
Nasikitika sana...

Ila simlaumu kwa kukubali kushindwa ...maumivu yake ni mabaya na yana cost kubwa!
Ukisalimika na hili basi unaweza pata kilema cha moyo na maradhi endelevu ....
Tunaishi wengi na mwiba wenye sumu kali.....safari ya pole pole...
Mungu na ampe pumziko amsameh makosa yake!
 
Poleni wote mlioguswa na msiba huu.
Fundisho kubwa hapa ni KUPAMBANA na hali yako.....iwe ni hali ya kiuchumi, mahusiano, etc; PAMBANA bila kuchoka na ikibidi omba msaada kuepusha haya yaliyomkuta marehemu.
 
Mshana Jr... Embu tueleze, huyu Yona atakua alitupiwa jini gani?
Asante
 
Poleni wote mlioguswa na msiba huu.
Fundisho kubwa hapa ni KUPAMBANA na hali yako.....iwe ni hali ya kiuchumi, mahusiano, etc; PAMBANA bila kuchoka na ikibidi omba msaada kuepusha haya yaliyomkuta marehemu.

I think that isn't entire true. It seems to me that probably the guy had some mental issues and we as a nation we should start taking issues related to mental health very seriously. Just because somebody is from a decent family or from well to do family, it doesn't mean the individual is mentally fit.
 
Mh huenda ni ishu ya assassination eti? Niseme tu sie binadamu tumefungwa mambo mengi sana, hapa tunalaumu tu ila huenda kuna watu wakisoma hii sredi wanacheka tu the deal was done successfully!

Maana tumeingizwa na miguu yote Mia dadeki
 
Mh huenda ni ishu ya assassination eti? Niseme tu sie binadamu tumefungwa mambo mengi sana, hapa tunalaumu tu ila huenda kuna watu wakisoma hii sredi wanacheka tu the deal was done successfully!

Maana tumeingizwa na miguu yote Mia dadeki
Naona rip rip source sijuwi
 
44 Reactions
Reply
Back
Top Bottom