TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

Ni muda mrefu kidogo ila kifo ni kigumu na hakizoeleki.

Going too soon son, Rest Easy.
RIP Yona. Ni moja ya watu watata sana kupata kuzaliwa duniani. He liked unhealthy competitions. Kwa mfano, ili kuzuia nguvu ya JF alianzisha kitu kinaitwa wanabidii. Kikafa juu kwa juu. Pengine ujuaji ulikuwa hata kwenye ndoa ndio maana partner akaamua kufanya yaliyo ndani ya uhuru wake. Simuhukumu, ila tunavuna tunayopanda.
Rest Easy Brother...wewe mbele sisi nyuma yako. Just to inform you, wanabidii nayo imekufa maana haikuwa na strong roots
 
Mkuu huyu jamaa nilikua simuelewi.. Ingawa alionekana kama mtaalamu sana wa mambo ya mitandao. Hivi ni kweli alikua mtu wa "system"
 
Alikuwa mwanafunzi wangu ..kwa bahati mbaya he was the best person but not the right one..after psych analysis on him nikajiridhisha hawez kukontrol hasira...na pia uoga (cant resist interrogation)... etc..
Poleni sana wafiwa..
Who are u man!?nimefuatlia sana michango yako hapa jukwaan but they r too contradictive thoughtfully
 
Back
Top Bottom