Freelancer
JF-Expert Member
- Sep 22, 2008
- 2,965
- 2,141
Hata usipojibu I don't care...Nitasoma vitabu vya watu wenye akili sio wapuuzi kama wewe...Umesema utakuwa wa mwisho kukisoma, amini kuwa binadamu wanaozungumza kiswahili hivi sana wapo milioni 407,sasa mpaka sasa nimeuza nakala miatano tu, hivyo vumilia mpaka wafike milioni 406 ndipo nitajibu maswali yako ili ielewe na kisha kukisom hiki kitabu