Tanzia: Waziri wa zamani mh. Augustine Mwingira afariki

Kidogo chetu

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
1,432
992
Ndugu zangu wana JF,

Napenda kuwajulisha kuwa Mzee Augustine Mwingira aliyewahi kuwa waziri wizara mbalimbali Hatunae tena.

Wengi mtamkumbukkwa ile kashifa ya Rajipal wakati wa utawala wa awamu ya kwanza wa mwalimu Nyerere.

Mungu ailaze pema roho ya marehemu.
 
NETWORK LOST....kwa huyu ex-minister tupe kidogo wasifu wake pia pole nyingi kwa familia na ndg mungu ampumzishe pema peponi amen
 
Agustine Mwingira ambae aliwahi kuwa na nyadhifa mbalimbali wakti wa utawala wa awamu ya I na II amefariki dunia
 
Agustine Mwingira ambae aliwahi kuwa na nyadhifa mbalimbali wakti wa utawala wa awamu ya I na II amefariki dunia

RIP Mzee Agustine Mwingira of the George Hallack planes for ATC scandal fame!!!
 
Aliyekuwa Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi Serikali ya Awamu ya Kwanza, Augustine Mwingira amefariki jijini Dar, familia yathibitisha.
 
Duh. Badilisha kichwa cha habari na Uandike Aliyekuwa waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi awamu ya Kwanza ya utawala wa Mwalimu Nyerere.
 
Nimedhani ni Mwakyembe,,,,,,,,,,kichwa cha habari hakijatulia kabisa.

alazwe mahali pema peponi amen.
 
Duh. Badilisha kichwa cha habari na Uandike Aliyekuwa waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi awamu ya Kwanza ya utawala wa Mwalimu Nyerere.
Nilivyosoma kichwa cha habari tu nikajua ni Mwakyembe.
 
Duh. Badilisha kichwa cha habari na Uandike Aliyekuwa waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi awamu ya Kwanza ya utawala wa Mwalimu Nyerere.

Msiwe wavivu kusoma wewe unataka ukishasoma topic ujuwe habari mkuu
Usiwe kama yule mtu anasoma magazeti kurasa za mbele akitoka hapo kamaliza
 
Back
Top Bottom