Kwa hiyo?
Jipange.
Kwa hiyo?
Hapana! Huyo anaitwa Protase Gervase Ishengoma.Je ni yule akiyekuwa mmiliki mwenza wa IMMA Advocate?
Absolutely wrong!
Halafu?Jipange.
Acha ushamba au wewe ni Dr au mortuary attendant mpaka ujue cause of death au kigagulaZile idadi za vifo zinazoendelea huko ulaya na Marekani nikuwa siziamini nikizani kuwa walikuwa wanapika data ili kututisha .
Halafu?
Na baada ya kujichanganya kwenye mijadala?Ndio ujichanganye kwenye mijadala,...
mimi sifanyi mchezo na corona. Nitakufa lkn nimechukua tahadhali zote. nyinyi si mnakejeli!Sasa kamanda wewe ndio utapona sio?
Ukishakufa nitatuma rip, usiwe na wasiwasi.... Nitakufa...
Nyama ya udongo!
Kifo haitambui umaarufu wako, mbele ya kifo hautambi.
Alaumiwe Remmy Ongala kwa lyrics hizo..
Hata adui yetu hatumjui vizuri Ana silaha gani Ana mbinu gani ili tufanye counter attacksTatizo ramani ya vita imefichwa! Hatujui hali ikoje ndio maana tuna relax tu kama vile hakuna kitu.
Naona hakuna maambukizi mapya, au sio Lumumba FCChukua tahadhari wewe acha kuimba hizo nyimbo za ufipa. Tutakuzika kabla hujashtuka, wewe endelea tu kuzungusha mikono.