Tanzia: Taarifa ya mazishi ya Mzee Augustine Cassian Mwingira

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,869
1,225
Published 5/28/2014 11:08:00 PM

Labels: Tanzia



Augustine Cassian Mwingira

Familia ya Marehemu Mzee Augustine Cassian Mwingira kutoka Mjimwema, Kigamboni inasikitika kutangaza kifo cha mpendwa mzee wao, mzee Augustine Cassian Mwingira kilichotokea Jumanne, tarehe 27 Mei 2014 katika Hospitali ya Shree Hindu Mandal alipokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Msiba upo nyumbani kwa Marehemu Mjimwema, Kigamboni "Kwa Mwingira".

Maziko yanatarajiwa kufanyika Dar es Salaam siku ya Jumamosi, terehe 31 Mei 2014.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe - Amen​


























 

Sangomwile

JF-Expert Member
Aug 17, 2012
3,111
2,000
Kumbe pale kwa Mwingira ni huyu mzee,nilifikiri ni yule mchungaji.RIP mzee Mwingira.
 

NAPITA

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
5,076
2,000
Pole sana Familiya ya mzee Mwingira kwa msiba huo apumzike kwa Amani.
 

Phillemon Mikael

JF-Expert Member
Nov 5, 2006
9,872
2,000
RIP Mzee Mwingira...


Taifa linakukumbuka Kama Moja ya watu wa mwanzo kabisa kuingiza Nchi Chaka kwa kununua....Kivuko kibovu cha kigamboni...kumbe unaishi Huko na zile Ndege Mbofu toka Palestina....mbili zilizoshindwa kuruka Mara tu Baada ya kufika Kia na ingine DAR
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom