TANZIA: Sir. George Kahama afariki dunia

Sir George Kahama, Rashid Kawawa na Boke Munanka hawa walikuwa ni watu wa karibu sana wa Mwalimu Nyerere kwa muda mrefu sana.

Ingawa Sir George yeye hakuwa Mr. Yes sir kama walivyokuwa wenzake.

Pumzika kwa amani Komredi.
 
My 'God, Mungu wangu, Maweeeee' Bojo wabitera ta joji. We are slowly missing the people who could telll these mwendo kasi where we came from. RIP baba Mama Pieta tutamlinda.
 
RIP

kwa Nini aliitwa Sir?
Sina Maelezo sana ya kutosha, lkn niliwai sikia title ya sir kapewa na Nyerere na yeye Ndio mtz wa kwanza kupewa title hiyo ijapo hakuwa Mwalimu kama wengi wanavodhan kuwa title ya u-sir anapewa mwl pekee
 
Hao ndio watu waliweka Misingi ya Taifa hili sio wale waswahili wanopewa sifa za kijinga kwamba walikuwa Dar es salaam wakinywa gahawa wanadai uhuru
 
Si kweli hiyo heshima alipewa na Queen Elizabeth baada ya kukosoa kitu Fulani kilichoandikwa na maprofessor wa Oxford


Una hakika na unachosema?

Kwa taarifa yako ni Mtanzania mmoja ndie aliyepata kuwa KBE ambaye ni Andy Chande. Hata hivyo hawezi kujiita Sir kwa kuwa Malkia sio mkuu wa nchi ya Tanzania. Ukipewa Knight of British Empire(KBE) ndio unaweza kutumia hiyo title ya Sir only if malkia ni head of state. Ndio maana Marekani hakuna Sirs ila Canada na mataifa mengine ambayo Malkia ni head of state.

Clement George Kahama has never been knighted. Pia ukipata hiyo KBE mke wako anaitwa Lady somebody. In this case tungekuwa na Lady Kahama.

Na kama mwanamke akipata hiyo KBE anakuwa Dame somebody kwa mfano Dame Wema Sepetu.
 
Rip mzee pole mama Pieta na baba Pieta tupo mbali ila tupo pamoja. b.na m. j.
 
29 Reactions
Reply
Back
Top Bottom