TANZIA: Rais Mstaafu wa Zimbabwe, Robert Mugabe afariki dunia nchini Singapore alikokuwa anapatiwa matibabu

Pia umesahau kuwa ndiye rais aliyewahi kuwatunishia misuli mabeberu enzi za utawala wake mpaka wananchi wake wakalazimika kwenda kununua mkate kwa burunguti la pesa.
 
Pumzika Salama Mugabe,njia yetu sote ni moja.Poleni Zimbabwe kwa kumpoteza baba wa Taifa.
 
Mzalendo kafia Singapore, hawa wazalendo wa Africa shida sana aisee. Tumaini langu ni kwamba miaka yote aliyoongoza Zimbabwe angeweza kuwa amejenga mahospitali ya kisasa yenye kila kitu na amesomesha madaktari wengi wazawa maaa huu ndio msingi wa Taifa lolote duniani lenye dhamira ya dhati kuletea watu maendeleo. Nilitegemea angeugulia Zimbabwe a kutibiwa Zimbabwe labda sasa kama amemjengea kila mzimbabwe uwezo wa kutibiwa nje ya Zimbabwe akiumwa..
Jinga kabisa Wewe. Rudi darasani ujifunze maana ya "Mzalendo." "The Butcher of the Zimbabweans" unamwita "Mzalendo!!!?" Tena Kama Rais wetu atahudhuria mazishi yake na kumwita "Comrade" nitajua lao moja!!!
 
Back
Top Bottom