TANZIA: Rais Magufuli afiwa na dada yake (Monica Magufuli) Hospitali ya Bugando

Kwanza kabisa Salam Wakuu, na Poleni wafiwa.. Mungu azipumzishe roho za Marehemu mahala pema.
Ni Muda kidogo Umepita tokea Dada wa Kiongozi Mkuu atutoke, Tuliona namna Msiba ule ulivyoweza Kuvuta Mkuu wa Nchi,Viongozi wa Serikali,mpaka Wastaafu,
Shughuli Zote Zilisimama kwa Muda, Vikao havikuwepo..
Hotuba zilitolewa Kana kwamba ni Msiba wa Kitaifa..
Leo hii Tumepoteza Watu 225 kwa mpigo, Wanatumwa Watu kumwakilisha Kiongozi Mkuu, Bila ya kutoa sababu yoyote.

Binafsi nimeumia sana kuhusu hili, Maana naamini katika Usawa, Hakuna Binadamu aliye na Thamani kuliko Mwingine.

Hivi hujui hatuna kiongozi bali kichaa kama alivyokwisha kujisemea!? Ya nini uumize akili wakati ameshajipambanua?
 
we mjinga nini unalinganisha msiba wa familia na majanga ya kijamii!? ulitaka asiende kwa dada yake?

wanafiki mnaojionyesha misibani muonekane bora.

"Waacheni wafu kwa wafu wazikane" kazi iendelee mpaka pumzi ya mwisho.
 
Whatever is excellent....Walipiga kura?Vifua mbele kuchangisha rambi rambi..Hivi MV bukoba tulichangia pia??
 
  • Thanks
Reactions: prs
we mjinga nini unalinganisha msiba wa familia na majanga ya kijamii!? ulitaka asiende kwa dada yake?

wanafiki mnaojionyesha misibani muonekane bora.

"Waacheni wafu kwa wafu wazikane" kazi iendelee mpaka pumzi ya mwisho.
Unaishi pangoni bila shaka yoyote.
 
  • Thanks
Reactions: prs
we mjinga nini unalinganisha msiba wa familia na majanga ya kijamii!? ulitaka asiende kwa dada yake?

wanafiki mnaojionyesha misibani muonekane bora.

"Waacheni wafu kwa wafu wazikane" kazi iendelee mpaka pumzi ya mwisho.
Wapi niliposema Ilikua Vibaya Yeye kuhudhuria Msiba wa Dada yake?!
Mimi ningependa ahudhurie yote, Na Siyo Kama Mtu Binafsi bali Kiongozi Mkuu.
 
Back
Top Bottom