Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 16,958
- 7,512
Jana nilifiwa na mwanangu wakati mama ake akiwa katika hatua za kujifungua, ni maumivu sana lakini naamini ni mapenzi yake Mungu.
Ninawashukuru wote waliofika kunijulia hari,waliotoa pole zao na nyote kwa pamoja, mimi sina cha kuwalipa ila ninamwomba baba Mwenyezi awape rehema zake na awabariki sana!
Amina.