TANZIA Mzee Beda Amuli, mbunifu na mchoraji wa majengo, likiwemo Soko la Kariakoo afariki dunia

Ni yupi kati ya hao wawili?

Je alikuwa anaishi wapi?
Msipende kusifia merehemu,sifia mtu akiwa hai!

Utaona asaivi Mtu kama TUNDU LISSU ni mwanasheria anayesaidia sana utumgwaji wa sheria bungeni na kukosekana kwake mmeona Masheria ya Kodi na Miamala ya simu benki,mara sjui ya ubakaji wanafunzi hayaeleweki,angekuwepo bungeni je?

Sasa mnasubiri akienda zake Mbinguni ndo watu ooh,tuache siasa ,sijui u ccm huyu jamaa alikuwa hazina,alisaidia sana,oooh spika analia kumbe u afiki tu,Tambua na mpe mtu credit zake akiwa hai.
 
Alikua anaishi Mbezi mwisho hapa stend mpya, ng'ambo ya Barabara pale kwenye fremu za maduka, ndipo kwa Bedda Amury, mara nyingi alikua anakaa pale anapata kilaji mzee wawatu taratiiibu. Ila amefia huko sinza kwenye nyumba yake nyingine.
 
Mimi hilo jina ndo kwanza kulisikia. Mtu anapofariki mnaanza kumtambulisha vitu vizuri alivyofanya. Nadhani ni vizuri mtu kutangaziwa vitu vyake vizuri ambavyo amefanya akiwa bado hai ili wengi tumfahamu kabla, sio amefariki ndo mnaanza kututangazia sifa zake, je kama mngemtangaza kabla tungehitaji taaluma yake?
 
African ndiyo maisha yalivo, kufa mazuri yote uwani, ishi/hai mabaya weka wazi...!
 
Habari za kusikitisha , Architect wa kwanza Mtanzania baada ya uhuru , Nd beda Jonathan Amuli, amefariki kuamkia jana pale Muhimbili.

Ikumbukwe kuwa BJ Amuli alitoa msukumo mkubwa wa watnzania wazalendo kuingia katika fani ya ujenzi, fani ambayo ilikuwa imeshikiliwa sana na wageni.
Mwaka 1964, Beda J Amuli alipata degree yake ya Usanifu: Bachelor Degree in Architecture , toka chuo kikuu cha Israel Institute of Technology.
Jengo linalofahamika sana kama zao la kazi yake ni lile la Soko La Kariakoo.
picture131.jpg

RIP Architect Beda Jonathan Amuli.
 
hotel-kilimanjaro-kempinski-dar-es-salaam-014.jpg

Akiwa na kampuni iitwayo Zevet Architects ya Israel, BJ Amuli vile vile alisanifu Hoteli hii maarufu ikiitwa Kilimanjaro Hotel, mwishoni mwa miaka ya 1960's.
 
Nasubiria sifa atakazopewa jamaa wa Mpwapwa pamoja na unafiki wao hawatasema ile ya kumchapa rungu mgombea mwenza kwenye mchujo wa ndani
Mkuu kwani unajuaje kuwa wewe hutatangulia kabla yake ? Yaani wewe u-R.I.P kabla yake hivyo usiweze kushuhudia kitakachosemwa kuhusu yeye siku aki-RIP.
 
RIP,tena miaka hiyo walikuwa wanachora kwa pencil,hapakuwa na sofware za siku hizi za kuchora kwa computer na kwa muda mmfupu,imagine mtu anachora ramani ya soko kama kariakoo kwa mkono na rula,hoteli kama kilimanjaro kwa penseli,kwa kweli ni kipaji cha aina yake.Mwenye detail zaidi za huyu Icon wa architecture atujuze,mmesema alikuwa kampuni ya Kiisrael?ya wapi ?kafa ana umri gani? kafia wapi ?kazi zake za mwisho ni zipi? etc etc
 
Ni yupi kati ya hao wawili?

Je alikuwa anaishi wapi?
Msipende kusifia merehemu,sifia mtu akiwa hai!

Utaona asaivi Mtu kama TUNDU LISSU ni mwanasheria anayesaidia sana utumgwaji wa sheria bungeni na kukosekana kwake mmeona Masheria ya Kodi na Miamala ya simu benki,mara sjui ya ubakaji wanafunzi hayaeleweki,angekuwepo bungeni je?

Sasa mnasubiri akienda zake Mbinguni ndo watu ooh,tuache siasa ,sijui u ccm huyu jamaa alikuwa hazina,alisaidia sana,oooh spika analia kumbe u afiki tu,Tambua na mpe mtu credit zake akiwa hai.

umeongea point sana

Tatizo ni kuishi na hao mazombi wa kitanzania hawajieleagi na hawajui wanachotaka ndo maana yananyonywa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom