TANZIA: Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya Karatu afariki dunia

Habarini wanajamvi.....

Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) wilaya ya Karatu kimeondokea na Mwenyekiti wa Ndugu Moshi Darabe ambaye pia ni diwani wa kata ya Baray...

Mh Moshi Darabe amefariki njiani wakati akikimbizwa katika hospitali ya KCMC jioni ya Leo........

Mh Moshi Darabe ni mwanasiasa mkongwe na kamanda mpapanaji kwa muda mrefu......

Hakika Chadema imepoteza kiongozi Mahiri na Mpambanaji.........

We are dust and in dust we return

May the soul of our lovely comrade rest in enternal peace.........

R.I.P Darabe.
 
Maamuzi ya Mbowe ndiyo yamemfifisha
Maamuzi yapi au hakuna maisha nje ya jamiiforums.... Nenda Facebook mbona yuko active sana na magroup ya whatsapp pia ... Hta kina mnyika na dk slaa walikuwa na active accounts humu JF na wenyewe hawaingii humu kisa mbowe??
 
Maamuzi ya kuuza Chama
 
Alikuwa mpiganaji wakweli.alitumia busara sna ktk maamuzi yake.pia hakuwa mwnyekiti tu bali alikuwa mfadhili wa chama wilaya.kifo chake ni pigo kwa chadema
 
Back
Top Bottom