TANZIA: Mwenyekiti wa Baraza la Michezo ya Majeshi Brigedia Jenerali Cyril Mhaiki afariki dunia

Baba XY

Member
Nov 3, 2016
67
72
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo ya Majeshi Brigadier Jenerali Cyril Mhaiki ambaye pia ni Kamanda wa Brigedi ya Nyuki amefariki leo jioni. Updates zaidi zinafuata.
 
IMG-20161213-WA0049.jpg

R.I.P The late Brigadier General Cyril Mhaiki.
 
apumuzike anapostahili, ametumikia taifa na amelijenga, one way for all.
 
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo ya Majeshi Brigadier Jenerali Cyril Mhaiki ambaye pia ni Kamanda wa Brigedi ya Nyuki amefariki leo jioni. Updates zaidi zinafuata.

Huyu alidhibiti sana hali kule hadi tukavuka ni masikitiko sana ...

Uchunguzi wa kina lazima ufanyike ...unaweza kufikiria kuna mkono wa ADUI ......

itabidi hawa watuambie wamemfanya nini Kamanda wetu JEMBE ...

Maana ni ghafla sana sana,na hakuwahi kuwa na historia ya kuumwa figo
 
Rest in peace, umetuachia SIZONJE anazidi kubolonga kila kukicha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom