TANZIA: mwanzilishi wa 'Ant-Virus' ya McAfee afariki dunia

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
John McAfee amekuwa akiwa amefariki katika chumba kimoja cha Gereza katika Jiji la #Barcelona, Uhispania

Umauti umemkuta saa chache baada ya Mahakama Nchini humo kuamua kumsafirisha hadi Marekani ili akashtakiwe kwa makosa ya kukwepa kodi

Taarifa za awali zinaeleza uwezekano wa John #McAfee kujiua

=======

Anti-virus software entrepreneur John McAfee has been found dead in a Barcelona prison cell, just hours after a Spanish court agreed to extradite him to the US to face tax evasion charges.

The Catalan Justice Department said prison medics tried to resuscitate him, but were not successful.

It said in a statement that "everything indicates" Mr McAfee took his own life.

A controversial figure, Mr McAfee's company released the first commercial anti-virus software.

It helped to spark a multi-billion dollar industry in the computer world.

The strange life of John McAfee
McAfee arrested in Spain over tax evasion charges
In October 2020, he was arrested in Spain, and accused of failing to file tax returns for four years, despite earning millions from consulting work, speaking engagements, crypto-currencies and selling the rights to his life story.

The US Justice Department alleged that Mr McAfee evaded tax liability by having his income paid into bank accounts and cryptocurrency exchange accounts in the names of nominees.

He was also accused of concealing assets, including a yacht and real estate property, in the names of others.
 
Duh....Kodi tu ndo hadii kufa...inasikitisha sanaa
 
Uhujumu Uchumi (Kukwepa Kodi + Kutakatisha Fedha) haijawahi kumwacha mtu salama ulimwenguni, kasoro Tanzania tu ndio shamba la bibi.

Tanzania utaskia muuza kuku (Mr Kuku) ameshtakiwa kwa kesi ya uhujumu uchumi wa Sh Billion 1.3, mara utaskia muuza spare za simu (Mdude Nyagali) ana kesi ya kusafirisha dawa za kulevya tokea pakistani na kupeleka mbeya (Wakati mtu hajawahi hata kumiliki passport wala kufika nje ya nchi, hata kenya).

Ila Mawaziri au Wakuu Wa Mikoa hata wakihujumu Sh Billion 10 tunapishana nao wanaseleleka kitaa tu.
 
IMG_7120.jpg

Huyu jamaa katika watu wanye vituko na mbwembe anaongoza.alikuwa mtu wa bata sana,madawa sana hata kufa kwake huko spain ni kwa kujiua maana alishajikoroga sana
 
23 Feb 2017​

John McAfee: about blockchain, bitcoins and cyber security

Well, it’s not every day that you have the chance to sit down and talk about security, the blockchain, bitcoins and education with John McAfee, a genuinely cyber security legend. In Romania to speak at the d10e Conference, "the most popular hacking target" (as he states about himself) joined us for a 30-minutes video interview as well. And here’s what it came out
 
Uhujumu Uchumi (Kukwepa Kodi + Kutakatisha Fedha) haijawahi kumwacha mtu salama ulimwenguni, kasoro Tanzania tu ndio shamba la bibi.

Tanzania utaskia muuza kuku (Mr Kuku) ameshtakiwa kwa kesi ya uhujumu uchumi wa Sh Billion 1.3, mara utaskia muuza spare za simu (Mdude Nyagali) ana kesi ya kusafirisha dawa za kulevya tokea pakistani na kupeleka mbeya (Wakati mtu hajawahi hata kumiliki passport wala kufika nje ya nchi, hata kenya).

Ila Mawaziri au Wakuu Wa Mikoa hata wakihujumu Sh Billion 10 tunapishana nao wanaseleleka kitaa tu.
Mdude ni kiherehere chake cha kujifanya ana mdomo sana acha apate somo kima huyo.

mwanakulitafuta mwanakulipata
 
Ulaya hawana masihara na mambo ya kodi. Ulaya, Marekani, China, Japan wana sheria ngumu sana za kodi, lazima watu walipe kodi na lazima kodi ikusanywe hata kwa nguvu.

Acha Tanzania tuendelee kubembelezana halafu tukawalambe wazungu makalio watupatie misaada ambayo wao wamewabana watu wao wakalipa kodi.
 
Huku mlipa kodi anapaswa kulipa laki tano, lakini serikali hapo hapo itambabikia kesi ya uhujumu uchumi 😀 kama sio milioni 500 kwenda juu
 
Back
Top Bottom