Nyetk
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,648
- 1,696
Marehemu Josephat Isango
Mwenyezi Mungu ailaze mahali pema roho ya Marehemu Josephat Isango, Amina.
Chanzo: Nimeletewa ujumbe toka Hospitalini.
======
Leo siku ya Jumanne Aprili 18, Marehemu Josephat Isango anazikwa Kisasida mkoani Singida na picha ya chini ikionyesha mwili wa Marehemu ukitolewa Mochwari tayari kwa safari ya kuagwa na kuzikwa.
Mwili wa Marehemu ukitolewa Hospitali kuelekea kijijini kwake
Mjane wa Marehemu
Baadhi ya waombolezaji.
Wawakilishi wa Jamii Media
Mkuu wa Wilaya ya Uyui
Mbunge wa Arusha, Mh. Lema
KUB, Mh. Mbowe
Mbunge wa Ubungo, Mh. Kubenea