TANZIA: Mwandishi wa Gazeti la Serikali la Daily News, Rose Athuman amefariki Dunia akipatiwa matibabu Muhimbili

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,075
4,111
TANZIA: Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Serikali la Daily News, Rose Athuman amefariki Dunia akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar. Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi, Amina.

DOL-P-rWsAEhlO4.jpg

=====
Ms Athuman passed away at Muhimbili National Hospital in Dar es Salaam, where she was receiving treatment after a short illness.

Ms Athuman’s family shared the sad news on Thursday morning and arrangements for her burial were still underway.

Daily News Acting Editor, Leonard Mwakalebela said that the paper has lost a hardworking and disciplined staff.

“We have been shocked by the demise of Rose…she has left a gap not only at the company, but also the media industry at large,” Mr Mwakalebela added

Source: Daily News
 
Daaah!
Vitoto vidogo vunaondoka kwa kasi!
Kwa heri ya Kuonana Mwandishi
 
Mungu amlaze mahala pema peponi.
Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani. Amina
Ma wigi haya, yanaficha uhalisia wa mtu.
 
Kifo kisikie kwa mwenzio,nawaombea wafiwa afya njema na nguvu za kuhimili msiba walioupata.
Kifo ni ukumbusho kwetu tulio hai,iko siku na sisi tutakwenda huko huko.Je tumejiandaa vipi....??
 
Kifo kisikie kwa mwenzio,nawaombea wafiwa afya njema na nguvu za kuhimili msiba walioupata.
Kifo ni ukumbusho kwetu tulio hai,iko siku na sisi tutakwenda huko huko.Je tumejiandaa vipi....??
Tujiandae kwani tunasafiri
 
Back
Top Bottom