TANZIA: Mwandishi wa Gazeti la Serikali la Daily News, Rose Athuman amefariki Dunia akipatiwa matibabu Muhimbili

Pumzika kwa Amani Rose.
Umeniacha mpweke sana. Sitasahau mara ya mwisho tulipokuwa Zanzibar ukiwa na nguo yako ya kuogelea huku ukitabasamu na kunivuta tuingie wote majini. Mungu nijaalie nguvu na hekima katika kipindi hiki kigumu. Pumzika kwa Amani Rose wangu. Umeniachia ukiwa wa ajabu.
Is that serious???? Imenibidi nicheke
 
Back
Top Bottom