TANZIA: Mwandishi mkongwe na aliyewahi kuwa DC wa Handeni/Morogoro, Muhingo Rweyemamu afariki dunia

Pumzika kwa Amani Muhingo, Nitakukumbuka jinsi Gazeti la Rai lilivyokuwa makini ila likatumia kuaminika kwake vibaya kwa kuwachafua Watu wote waliokua wanaonekana watakua tishio kwa wanamtandao kuingia Ikulu ingawa wengine zilikua ni kashfa za kweli ila Dr Salim sidhani kama atawasahau
 
Rest in peace Mr Muhingo.

Nitakukumbuka daima kwa Yale yote mema uliyonifundisha pale New Habari (2006) kupitia Maarifa Media Trust,2010

Hakika nipo hapa nilipo kupitia Yale uliyonifundisha pamoja mwenzio Mkufunzi,Chrisostom Rweyimamu ambaye nae ametangulia mbele za haki.

Amina.

Amina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyekuwa mwandishi nguli na mkuu wa Wilaya za Handeni na Morogoro, Muhingo Rweyemamu amefariki dunia asubuhi ya leo.

Kwa mujibu wa watu wake wa karibu, Muhingo ameumwa kwa muda mrefu. Anadaiwa kuwa alikuwa anavimba tumbo, mapafu kufeli na alikuwa asafirishwe jana kwa matibabu zaidi lakini daktari akashauri kuwa ndege ikiruka tuuu angefariki kwani Sukari ilikuwa chini sana.

View attachment 580128

Soma zaidi wasifu wa marehemu kupitia uzi huu Barua ya wazi kwa ndugu Muhingo Rweyemamu

So sad. Fare thee well Comrade and Veteran Journalist Muhingo Rweyemamu. Nilikutana nae mwaka 2011 alipokuwa bado pale Habari Corporation Sinza Kijiweni na kwa yale mazungumzo yake nami ya Kitaaluma na Kitasnia ya Habari aliweza kuniongezea madini fulani hasa ya Kihabari ambayo yalinisaidia, yananisaidia na naamini yatanisaidia pia huko mbeleni.
 
Rest in peace Mr Muhingo.

Nitakukumbuka daima kwa Yale yote mema uliyonifundisha pale New Habari (2006) kupitia Maarifa Media Trust,2010

Hakika nipo hapa nilipo kupitia Yale uliyonifundisha pamoja mwenzio Mkufunzi,Chrisostom Rweyimamu ambaye nae ametangulia mbele za haki.

Amina.

Amina.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani tulikua intake moja! unakumbuka story zake akiwa darasani?
 
Wah! pumzika kwa Amani ndugu nasi tu njia moja, twaja muda ukifika!
 
Back
Top Bottom