TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

Ni habari za kusikitisha kwa familia ya JamiiForums kwa ujumla wake.

Inadaiwa marehemu Dena Amsi amefariki jana baada ya kuugua kwa siku kadhaa.

Taarifa za kina juu ya nini kilitokea na msiba upo wapi zitafuatia.

Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake na kumjalia pumziko la milele.

R.I.P Dena Amsi

==================
Rip D Amsi
 
Mungu amrehemu jamani
Taarifa za kina juu ya nini kilitokea na msiba upo wapi zitafuatia.

Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake na kumjalia pumziko la milele.

R.I.P Dena Amsi

==================
 
Poleni sana wapendwa kwa kuondokewa na mpendwa wetu-Mungu ailaze rohoyake mahali pema peponi AMINA
 
60 Reactions
Reply
Back
Top Bottom