TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

Hivi rafiki ulikimbilia wapi?/hebu rudi haya maisha magumu tusaidiane wote, asikimbie MTU! Uko ulimwengu huu huu au Shemeji alichukua simu??
Ha haa acha tu, tena tulipofikia na hii corona nabadili ficho mpaka tiba ipatikane...

Ila nakukumbuka kweli best, na vile hupatikana hewani basi tafrani tupu, usiwe hivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una moyo wa kutoa..
ila hujajua kanuni za utoaji, ukijua pepo itakua yako!
Inawezekana wafanya hivo ili ku-motivate wengine wafanye mema, ila kwa Mungu unakua hujafanya kitu. Kwake ataona ni kama show off asizozipenda Alikiba.
Endelea kutoa msaada, ila zima kamera pindi utoapo..I mean say nothing about your Good side.
That's what I always do! And so Do Others
CC.
Blaki Womani
Umenena vyema ila huu ni mtihani kwa wengi tunaambiwa ukitoa na mkono wa kulia hata wa kushoto usijue,watu wanachoshindwa kujua kupewa ni udhalili mwenzako anaona anavyodhalilika kwa kupewa tu weye unaona havitoshi kutwa kujinadi sasa umefanya nini si bora ukakae viti virefu maana humuumizi mtu
 
TANZIA:

MWANA JF MIGUU YA KUKU/ MPAUKO HATUNAE DUNIANI

Kwa mujibu wa rafiki yake wa mitandaoni ni kuwa Mpauko / MIGUU YA KUKU alifariki tarehe 23 / 01/2020.

Chanzo cha kifo chake ni kujinyonga lakini hakuna taarifa ya sababu ya kujinyonga.

Rafiki yake anasema alipotezana nae mtandaoni toka january hiyo na alikuwa akituma txt za kawaida kwenye namba zake tatu hazifanikiwi kumfikia.

Akajaribu tena jana jumapili tarehe 23 asubuhi txt zikapokelewa na kujibiwa kwa ukali kidogo na simu kufungwa. Rafiki yake alituma txt zaidi zilizopokelewa jioni na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mdogo wake. Mdogo wake huyo ndiye alietoa taarifa ya kifo hicho.

Marehemu alizikwa kwao Iringa

Amewahi andika:

1) Daah! Haya maisha bwana, mi yanaelekea kunishinda! Hivi ni sumu gani inaua haraka bila mateso?

2) Maisha yamekuwa hayana jema kwangu nashangaa kwanini sifi

3) Kwa wenye huruma tu! Nahitaji ajira niweze kuishi

4) Mengine haya huumiza, Tusaidiane...

5) Mrejesho: Naomba msaada wa ada
6) Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana
Topic zake zilionyesha anahitaji WOKOVU WA YESU, maana alitaka kujiua siku nyingi.
Pia ni MHEHE WA IRINGA, hawa watu wa Iringa wana "following spirit" toka kwa babu yao mkwawaya kujiua, anapaswa KUOKOA
 
Topic zake zilionyesha anahitaji WOKOVU WA YESU, maana alitaka kujiua siku nyingi.
Pia ni MHEHE WA IRINGA, hawa watu wa Iringa wana "following spirit" toka kwa babu yao mkwawaya kujiua, anapaswa KUOKOA
Acha tu kuna Member mwingine alijiua baada ya kumfumania mkewe akiliwa KIBOGA.
 
Baadhi ya thread zake zimenigusa sana, na baadhi ya reply za watu waliotegemewa kumpa moyo zilikatisha tamaa..
Innalillah wa innah ilahyi rajiun
 
so sad sad indeed... thread zake zina sikitisha sana

usiombe uwe na depression in tz utakoma,, Tanzania ina watu wachache sana wanaotambua kwamba stress ni ugonjwa mbaya sana kuliko hata cancer....

wengi bado hawatambui kuwa stress ni kitu cha hatari sana.. inshort ukiwa na stress in tz wewe pambana na hali yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom