• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

TANZIA: Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

unique vee

unique vee

Member
Joined
Jul 9, 2016
Messages
78
Points
150
unique vee

unique vee

Member
Joined Jul 9, 2016
78 150
TANZIA:

MWANA JF MIGUU YA KUKU/ MPAUKO HATUNAE DUNIANI

Kwa mujibu wa rafiki yake wa mitandaoni ni kuwa Mpauko / MIGUU YA KUKU alifariki tarehe 23 / 01/2020.

Chanzo cha kifo chake ni kujinyonga lakini hakuna taarifa ya sababu ya kujinyonga.

Rafiki yake anasema alipotezana nae mtandaoni toka january hiyo na alikuwa akituma txt za kawaida kwenye namba zake tatu hazifanikiwi kumfikia.

Akajaribu tena jana jumapili tarehe 23 asubuhi txt zikapokelewa na kujibiwa kwa ukali kidogo na simu kufungwa. Rafiki yake alituma txt zaidi zilizopokelewa jioni na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mdogo wake. Mdogo wake huyo ndiye alietoa taarifa ya kifo hicho.

Marehemu alizikwa kwao Iringa

Amewahi andika:

1) Daah! Haya maisha bwana, mi yanaelekea kunishinda! Hivi ni sumu gani inaua haraka bila mateso?

2) Maisha yamekuwa hayana jema kwangu nashangaa kwanini sifi

3) Kwa wenye huruma tu! Nahitaji ajira niweze kuishi

4) Mengine haya huumiza, Tusaidiane...

5) Mrejesho: Naomba msaada wa ada
6) Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana
 
T14 Armata

T14 Armata

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2017
Messages
1,359
Points
2,000
T14 Armata

T14 Armata

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2017
1,359 2,000
Bado taarifa hii ina utata. Ina maana mdogo wa 'marehemu' bado anatumia simu ya kakaye kwa zaidi ya mwezi sasa!?
Mkuu eti inawezekana mdogo wa marehemu atumie simu ya aliyekufa kwa muda wote huo, bila hata kubadili sim card. Sasa ana lengo gani nayo. Hatujui.
Mimi nilipewa simu ya babu yangu nikae nayo alipokufa baada ya miezi miwili nikaizima.
 
reyzzap

reyzzap

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Messages
4,550
Points
2,000
reyzzap

reyzzap

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2014
4,550 2,000
Hapa ndio mzuka unapokata kbsaaa...

Half humu kuna wanarudisha jezi kimya kimya sisi hatujui tunadhani ni U bussy, kumbe Mchwa wanafanya yaoo....

Wote wapumzike kwa amani....

Huyu nae tuwe nae karibuu

https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1693473/
Sijawah waza hizi mambo kbsa....
lkn sasa inatishaaaa.....
Mwezi uliyopita classmet wangu nae kajimaliza...

alinitumia tu msg usiku
'.......kwaheri rafk yangu,'.

Asubuh naona msg kupga hapatkani...
Nikajua kaenda mbele kwa trump maana week tatu kabla safar yake ilikua imeiva........

Mchana Dada yake ananipgia simu....
'Wewe ni rafiki wa ......?' nikamwambia 'ndio'
Akaniambia 'hatunaye tena, kajipumzisha mwenyewe'

Nilipigwa ganzi na butwaa moja hatar nilijikuta simu ipo miguuni huku bd ipo hewani...
Kwa yale mawazo ile siku sikutaka hata kuvuka barabara kubwa kbsaaa.....

Sijui nn kilimpataa ghalfa(Sitaki kuamini km ni Majibu ya Vipimo vya HIV ili aende mbele)... nakat Alipata dili moja kali sana la kwenda huko...

Watu wanatembea na sumuuuu......
Tuwe makini na lugha zetu kwa yyt yule....
Haya masuala ya kujutia lugha, mioyo yetu migumu na matendo yetu kwao baada ya tukio NIKUJITAKIA...
Spread love to every creature on your way.....
it might pay you or save them some days...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
client3

client3

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2007
Messages
1,943
Points
2,000
client3

client3

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2007
1,943 2,000

Forum statistics

Threads 1,404,257
Members 531,540
Posts 34,448,875
Top