Tanzia: Muigizaji wa FUTUHI, maarufu kama Karumekenge Afariki dunia.

Futuhi sijaangalia mda mrefu sana,mie naowakumbuka sana ni:-
1.Tajiri la kihaya
2.Yule anayeongea kama CHINGA
3.OKWECHU OKWECHU.
4.Yule dada mfupi black
5.Kuna mmama flani hivi white
6.Wakukurupuka aka Brother K
 
Dah! alipatwa na nini tena ndugu karumekenge

Kwani kuna Binadamu mwenye HATIMILIKI na UHAI MILELE au HAKIKISHO kuwa HATOKUFA / HATOFARIKI? Kikubwa tumshukuru tu Mwenyezi Mungu kwa yote na tumuombee makazi mema huko aendako na Sisi tuliobaki pia tujindae maana hatujui Sekunde, Dakika, Saa, Siku, Mwezi wala Mwaka. R.I.P Kwake Marehemu na poleni sana Kundi lote la FUTUHI japo nimeambiwa kuwa hata Kundi lenyewe nalo LIMEGAWANYIKA kutokana na ' Upigaji ' na ' Uroho ' wa Madaraka hadi kupelekea kuwa na FUTUHI Orijino na FUTUHI Chipolopolo.
 
Futuhi sijaangalia mda mrefu sana,mie naowakumbuka sana ni:-
1.Tajiri la kihaya
2.Yule anayeongea kama CHINGA
3.OKWECHU OKWECHU.
4.Yule dada mfupi black
5.Kuna mmama flani hivi white
6.Wakukurupuka aka Brother K
1.braza k Tajiri wa kigoma
2.Tatu mkate wa arusha
3.Evodia njerekela
4.Gongalai mzee wa gesi ya mtwara
5.Okech Okech mjaluo wa zanzibar
6.privates Sharobaro wa kihaya
7.karumekenge dereva wa mamba rip
 
Daah! Nimesikia leo asubuhi Mwenyezi Mungu amsamehe makosa yake, na ampokee kwenye utukufu wake.
 
Nilkua napenda anavyojitambulisha kwa kikurya akiwa anaripoti habari enzi hizo naangalia FUTUHI.
 
R.I.P Simfahamu...

Kundi lao sikuwahi kucheka nilitizma twice nikaacha kabisa nadhani kuna mzee fulani hivi nae nilisikia alidedi R.I.P nae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom