Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,510
- 28,416
Taarifa kutoka hospitali ya Bugando zinasema mwigizaji maarufu wa Kundi la Vichekesho la FUTUHI maarufu kwajina la Karumekenge amefariki dunia jana Ijumaa, Oktoba 26, 2018 usiku wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Jijini Mwanza.
Taarifa zaidi kuwajia soon.
Source: GPL