Tanzia: Muigizaji wa filamu'Mama Abdul' afariki dunia

Bado hujanishawishi vizuri...

kuangalia bongo movies bora ukalale tu..ila mm nampenda riyama na huyu marehem..sema sijawah shawishika nunua kazi zao bado..nawaangalia na kuwakuta nikiwa safarini..na yule shogake zama aliyeekt chausik.napenda uigizaj wake...!mie nikikaa na wanawake wenzangu huwa napataga ugumu sana...yaan mamichezo yoote ya kwenye tv yako kichwan😅😅😅...arghh
 
hahaa, Babu bana hujataka tu kushawishika, ngoja nikuitie mjukuu wako manengelo anisaidie kukushawishi kama ni mdau wa hizo movies.:p

😅😅😅..shoga mm ndo majanga...yaan vitu navyoangalia utadhan mwanaume vile😅😅😅..magazeti ss nayosoma😅😅😅...!nashindwa kbs kuangalia movie yyt..ila za nigeria nampenda mr ibu..ukiniambia humu ndan kuna mr ibu kwanza naanza kucheka..otherwise hapana...mie naishi km mbibi tu...!
 
Binafsi nilimuona kwa Mara ya kwanza ana kwa ana na DOGO LANGU JAKAYA COMEDIAN yupo peace R. I. P
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom