Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,356
Kumbe tuko wengi
Apumzike kwa amani mpendwa wao
Kumbe tuko wengi
duh
Naaminii kuna Bongo movies ambazo ni nzuri tu, mfano hiyo japo siikumbuki jina ila Huyo hayati Mama Abdul na Mhogo mchungu, waliigiza poa yaani,. so uwe unaangalia and just hope hutojutia kwa baadhi ya movies zilivyo nzuri.Unaweza kunihamasisha niwe naangalia bongo movie?
Bado hujanishawishi vizuri...Naaminii kuna Bongo movies ambazo ni nzuri tu, mfano hiyo japo siikumbuki jina ila Huyo hayati Mama Abdul na Mhogo mchungu, waliigiza poa yaani,. so uwe unaangalia and just hope hutojutia kwa baadhi ya movies zilivyo nzuri.
Bado hujanishawishi vizuri...
hahaa, Babu bana hujataka tu kushawishika, ngoja nikuitie mjukuu wako manengelo anisaidie kukushawishi kama ni mdau wa hizo movies.Bado hujanishawishi vizuri...
Ulikuwa hujazaliwa itakuwa.
hahaa, Babu bana hujataka tu kushawishika, ngoja nikuitie mjukuu wako manengelo anisaidie kukushawishi kama ni mdau wa hizo movies.
Daah Bongo movie?? Hapana kwakweliNaaminii kuna Bongo movies ambazo ni nzuri tu, mfano hiyo japo siikumbuki jina ila Huyo hayati Mama Abdul na Mhogo mchungu, waliigiza poa yaani,. so uwe unaangalia and just hope hutojutia kwa baadhi ya movies zilivyo nzuri.
Zipo bana nzuri kama niliyoiona ya huyo Mama enzi za uhai wake.Daah Bongo movie?? Hapana kwakweli
Ngoja nitasafiri toka huku kwetu Tarime Nitakutafuta unipe Nzuri ya bongoZipo bana nzuri kama niliyoiona ya huyo Mama enzi za uhai wake.
Uzalendo muhimu . au unapenda action movies, zile za akina Rambo, Schwarzenegger eeh
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa, hata huko zipo bana, yaani utoke Tarime mpk huku Njombe ufate movies akii.Ngoja nitasafiri toka huku kwetu Tarime Nitakutafuta unipe Nzuri ya bongo
Nitafuata tu,movie itakuwa sababu ya kuanzia safari kufika Njombe,nikifika huko mengine yatafuataHahaaa, hata huko zipo bana, yaani utoke Tarime mpk huku Njombe ufate movies akii.
Sent using Jamii Forums mobile app