TANZIA: Muigizaji mkongwe, Mzee Ojwang (Benson Wanjau) afariki Dunia nchini Kenya

pkjag

Member
Jan 2, 2015
85
36
Mzee Benson Wanjau, maarufu kama Mzee OJWANG HATARI, mume wa Mama Kayaii, amefariki usiku huu majira ya Saa 2 katika hospitali ya taifa Kenyatta alipikuwa akipata matibabu ya maradhi yaliyomsumbua kwa kipindi kirefu kidogo.

Mungu amlaze pema gwiji wa Vitimbi Show.

Pole kwa wafiwa na ndugu zetu wa Kenya wote.


========

1. He was born (Benson Wanjau) in 1937 in then Nyeri district.

2. As a pupil at CMS primary in Pumwani, Nairobi, Mzee Ojwang’s favourite subject was mathematics.

3. He dropped out of Form Two due to financial constraints.

4. He is married to Augusta Wanjiru and together they have two children –Patricia Njeri and Michael Karira.

5. His family and that of Mama Kayai (Mary Khavere) are good friends in real life.

6. Mzee Ojwang worked as a technician at Mater Hospital for four years. Before then, he had worked at White Rose Dry Cleaners in Industrial Area.

7. He started acting for Darubini on Voice of Kenya (now Kenya Broadcasting Corporation) in 1980. The programme was discontinued in 1985 when Vitimbi started airing.

ojuang.jpg
 
Muigizaji mkongwe mzee Ojwang amefariki muda huu dakika chache zilizopita hospital ya Kenyatta alipokuwa anapatiwa matibabu.
 
R.I.P Mzee ojwang. Pole kwa familia, mama kayai, mwalla na wote walioguswa na msiba huu
 
Muigizaji maarufu wa kipindi cha runinga cha Vitimbi, Benson Wanjau aka"Mzee Ojwang", ameaga dunia. Mzee Ojwang ameaga dunia muda mchache uliopita katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta, mjini Nairobi Kenya.

Chanzo: BBC Swahili.
 
Back
Top Bottom