Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,262
Muhadhiri mkongwe Afrika mashariki, Alhaj Sheikh Said Omar Rico amefariki dunia majira ya saa kumi jioni, Oktoba 8, 2018 nyumbani kwake Kiwalani jijini Dar es salaam.
Alhaj Sheikh Rico wakati wa uhai wake pamoja na kuwa Muhadhiri kwa upande wa dini kwa miaka mingi, alikuwa pia mwanasiasa, ambapo aliwahi pia kugombea Ubunge kupitia chama chake cha CUF na alishiriki kupigania haki pale ambapo ilipokuwa ikitetewa
Maandalizi pamoja swala ya Jeneza yatafanyika Kesho (leo) katika msikiti wa Mtoro Kariakoo, na baada ya swala ya Adhuhuri atazikwa kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam.
Inna Lilah Wainna Ilayhi Rajiun..Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema wanapolazwa wema.