Tanzia:Muasisi na mwenyekiti wa kwanza wa CHADEMA W/Lushoto afariki

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,372
1,500
Wana jf,nimepata taarifa ya huzuni kutoka kwa uongozi wa Chadema wilaya ya Lushoto kwamba muasisi na mwenyekiti wa kwanza wa chadema wa wilaya,kamanda Zuber M Dhahabu ameaga dunia leo na mazishi yatafanyika kesho,ambapo mazishi yatafanyika kwa heshima zote za dini na kichama.Tayari viongozi wa kanda ya kaskazini mkoa wa tanga na wilaya zote wanawasili.Kwa taarifa zaidi wana jf pata kutoka kwa katibu wa wilaya kamanda Dula na.0784819561.MBEGU ALIYO IPANDA IWE CHACHU KWA MABADILIKO WILAYA YA LUSHOTO.INAH LILAH LAJUN.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom