Tanzia: Mtoto wa Mtoboasiri afariki dunia

Pole saka Mtoboasiri! Mungu akupe nguvu kwenye kipindi hichi kigumu!

Roho ya Marehemu ipate rehema kwa Mungu, apumzike kwa amani. Amen!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mtoboasiri. Mungu awape nguvu za kustahimili hasa katika kipindi hiki kigumu. Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe.
 
Ahsante sana Lizzy kwa taarifa.

Pole nyingi kwa ndugu yetu Mtoboasiri. Mungu ampe nguvu na ujasiri wa kuukabili msiba huu mkubwa kwake na familia. Pia Mungu ampe Samson pumziko jema na la milele.

Kwa wale mlioko Arusha, naomba mtupe mwongozo ili tuweze kumuunga mkono mwenzetu katika kipindi hiki kigumu!

Mkitumia PM itakuwa vizuri zaidi!

cc: PakaJimmy, Blaki Womani, Preta, Filipo, marejesho, Arushaone.......
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu Mtoboasiri ,Mungu akutie nguvu sana kwenye kipindi hiki kigumu!
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana wafiwa wote mimi nipo arusha ningepata utaritibu wa mazishi ningehudhuria.
 
Pole Sana kiongozi.. Tupo pamoja ktk kipindi hiki kigumu.. Mungu amweke mahali pema peponi.. Amina!
 
Poleni sana kwa msiba mkuu Mtoboasiri pamoja na familia yako, Mwenyezi Mungu ailaze roho ya mtoto Sam mahali pema peponi Amina.
Mungu awape uvumilivu, faraja katika kipindi hiki kigumu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom