soma ulichoandikaHabari za toka Jana mwana siasa na msanii mkongwe Bob wine, kafariki , tatizo alitekwa na kupigwa mpaka umauti kumfika.View attachment 1173233
Habari za toka Jana mwana siasa na msanii mkongwe Bob wine, kafariki , tatizo alitekwa na kupigwa mpaka umauti kumfika.View attachment 1173233
Hivi cocochanel wewe ni mTanzania?Umerusha tu bila kusoma ulichorusha au ndio unajua kusoma bali hujui kuelewa?!!!
Jisikitikie
Acha haraka zisizo na tija.Habari za toka Jana mwana siasa na msanii mkongwe Bob wine, kafariki , tatizo alitekwa na kupigwa mpaka umauti kumfika.View attachment 1173233
Mimi huwa najiuliza kama ni binadamu huyu ?Hivi cocochanel wewe ni mTanzania?
Don't be offended...nimekuwa curious muda kidogo japo sikufahamu
Mbaya zaidi hata utaifa wako haunihusu
Mimi huwa najiuliza kama ni binadamu huyu ?
Kwanini mkuuHuyu ni binadamu,hilo halina ubishi
Utaifa/uraia wake tu ndo uhakika hatuna
Jamaa kivuruge kweli, aliyekufa mwingine yeye kamtaja mwingine.anaitwa ziggy wine ww umeandika bob wine haraka ya nn ?
Kwanini mkuu
Unaleta tabia za YouTube hukuUme kurupuka sana.. Kwani unge turia uka ipanga vizuri taarifa yako ungepungukiwa nini
mleta mada itabidi nimuombe Moderator atumie hekima zake za kukupa ban angalau ya wiki moja kwa kuleta habari za uzushi kuhusu kifo cha bobi wine.Habari za toka Jana mwana siasa na msanii mkongwe Bob wine, kafariki , tatizo alitekwa na kupigwa mpaka umauti kumfika.View attachment 1173233
Mimi huwa najiuliza kama ni binadamu huyu ?