TANZIA: Msanii wa Uganda, Moses Sekibooga a.k.a Radio afariki dunia

Hata ivo waganda hawanaga akili timamu wanaona mtu anapigwa vibaya wao wamekazana na smart phone zao they are hopeless ndo maana yanatawaliwa na Mtu mmoja miaka yote yapo yametulia kama ma kondoo tu stupid
Katika muda mfupi kama ule, tayari madhara yalishatokea, angalau Wamechukua uahahidi
 
Poleni sana wa Uganda kwa msiba huu na hasa wasanii. Lakini hapa bongo nimesikia yule mwanajeshi aliyempa Kabila siku 45 kuachia madaraka amekamatwa. Nadhani hata huyu baunsa atakamatwa
 
Mose alikuwa na tatizo kubwa la ugomvi na uchokozi, ana makesi kibao kampala, last year kuna radio host anaitwa kasuku alimtabiria kifo baada ya mose kuvamia party na kutupa laptop ya dj kwenye swimming pool ,jamaa aliwaomba wasikilizaji warekodi kabisa, akasema...mose akiendelea na tabia yake hii kuna siku atapigwa kichwa kipasuke ana atakufa..sasas imetokea kweli...back to the issue ya entebe...
Mose alikuwa anatoka na washkaji zake kuangalia ujenzi wa nyumba yake entebe akamuu kupita hapo de bar kunywa,akamzengua meneja kwamba hana uwezo wa kumnunulia black bottle belaire..meneja akakasirika akamnunulia bottle moja jamaa akafungua kwa dharau akammwagia mteja aliyekuwa anajinywea zake,ndipo vurugu zilipoanza
 
He deserved
 
Katika muda mfupi kama ule, tayari madhara yalishatokea, angalau Wamechukua uahahidi
Mda mfupi wakati kambamiza kwenye cjui ukuta wameangalia kambeba tena kambamiza chini wameangalia baada ya muda kampiha tena mateke wameangalia na vismart phone vyao alafu unasema kitenda cha mda mfupi kama ni kitendo cha mda mfupi mda wa kuchukua video wameutoa wapi.narudia tena they are hopeless people and stupid
 
Mmmmh.
Kuna kipindi nilikuwa napenda kuangalia cha 1000 ways to die.
My brother. nikiona hata tiles hazijakauka maji nakuwa makini sana.kifo kina sababu nyingi sana.
Inasikitisha na inauma sana.
 
Mose alikuwa na tatizo kubwa la ugomvi na uchokozi, ana makesi kibao kampala, last year kuna radio host anaitwa kasuku alimtabiria kifo baada ya mose kuvamia party na kutupa laptop ya dj kwenye swimming pool ,jamaa aliwaomba wasikilizaji warekodi kabisa, akasema...mose akiendelea na tabia yake hii kuna siku atapigwa kichwa kipasuke ana atakufa..sasas imetokea kweli...back to the issue ya entebe...
Mose alikuwa anatoka na washkaji zake kuangalia ujenzi wa nyumba yake entebe akamuu kupita hapo de bar kunywa,akamzengua meneja kwamba hana uwezo wa kumnunulia black bottle belaire..meneja akakasirika akamnunulia bottle moja jamaa akafungua kwa dharau akammwagia mteja aliyekuwa anajinywea zake,ndipo vurugu zilipoanza
Alafu kapigwa na baunsa watu wanamlalamikia baunsa bila kujua tatizo kaanzisha yeye, tunalaumu matokeo bila kuangalia chanzo. Yeye kama msanii mkubwa alitakiwa awe mfano ktk kusolve mambo kistaarabu. Alale mahali panapostahili
 
Mda mfupi wakati kambamiza kwenye cjui ukuta wameangalia kambeba tena kambamiza chini wameangalia baada ya muda kampiha tena mateke wameangalia na vismart phone vyao alafu unasema kitenda cha mda mfupi kama ni kitendo cha mda mfupi mda wa kuchukua video wameutoa wapi.narudia tena they are hopeless people and stupid
Mkuu unadhani wangepoteza muda kumsaidia na sisi tungepata wapi video za kuona tukio lilivyokuwa na kupata ushahidi mzuuuriiii mahakamani hivyo maisha tunategeana,mwisho wake ulifika na kipigo ni sababu tu,asingepata kipigo huenda hata usingizini,wengine wanasema daidomo ndio maana ana baunsa atamsaidia vipigo ila huenda akaondoka na ukimwi.
 
Back
Top Bottom