TANZIA: Msanii Nipsey Hussle afariki dunia kwa kupigwa risasi

Nirudie kusoma ujinga wako ulioandika soma wewe , kuwatukana waafrika wenzio na kuwalamba wazungu , unawajua vizuri wazungu wewe au umewaona kny sinema.
Km ulijua nimeandika ujinga ulirudiaje na ukaninukuu,inamaana ujinga wangu ni bora kuliko ufahamu wako,
Mara nyingi akili km zako ni za kurithi,
Rudia tena kusoma usione soo itakusaidia na ww usirithishe mtu ujinga,
Maana unazalisha kisichoongelewa,
Unakurupuka kuparamia itakuwa kupara..wa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena kwa taarifa yako ukiwasema vibaya waafrika wenzio mbele ya hao wazungu wako wanakudharaau kabisa ..
Nani kakwbia Black Americans wanajiita WAafrica.. Wewe unaekaa kwa mtogole unakuja na uongo... Kwa taarifa yako hakuna watu ambayo hawataki uwaambie ni waafrica kama black Americans. Ninawajua vilivyo.

Huyu ni Mayweathe akisema yeye ni black america na sio African

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Km ulijua nimeandika ujinga ulirudiaje na ukaninukuu,inamaana ujinga wangu ni bora kuliko ufahamu wako,
Mara nyingi akili km zako ni za kurithi,
Rudia tena kusoma usione soo itakusaidia na ww usirithishe mtu ujinga,
Maana unazalisha kisichoongelewa,
Unakurupuka kuparamia itakuwa kupara..wa

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliekuambia nimerudia kusoma nani ? Nimequote ulichosema , acha utoto na kukariri mambo , subiri ukue ndio uongee .
 
Nani kakwabia Black Americans wanajiita WAafrica.. Wewe unaekaa kwa mtogole unakuja na uongo... Kwa taarifa yako hakuna watu ambayo hawataki uwaambie ni waafrica kama black Americans. Ninawajua vilivyo.

Huyu ni Mayweathe akisema yeye ni black america na sio African

Sent using Jamii Forums mobile app

Ninajisikia sifa sana kukulia kwa mtogole , kuliko kulamba wazungu na kuwafulia mafi yao , mbona wanajiita ni ma diasphora wa huku afrika, hata hao blacks wapo wasiohitambua kama wewe pia. Huyo nae myweather si mshamba tu ana nini cha maana kwenye ubongo wake zaidi ya kusubiri wazungu wampe mshahara.
 
Yani wewe unamuita Mayweather ana nini ??? Hahaha yani wewe fukara na masikini usiejua kesho yako unapata wapi ujasiri wa kumuita hivyo mayweather.

Kiswahili chenyewe hujui eti :

Wasiohitambua
Wasioitambua

Sasa kama lugha yako ya taifa ilunashindwa kuimudu utaweza kumudu kujibu hoja nzito unazotupiwa humu jamvini. Halafu mpaka hapa nimeshajua najibishana na kichwa maandazi "Watermelon Head " asiejielewa.

Wewe ndio mshamba usiejijua , wewe unashindwa kujua kua hizo ni typing error , hata kama ni lofa, sijilambi kwa wazungu na utajiri wa mtu asiejitambua kua yeye ni nani ? Haunisumbui na ni zaidi ya ulofa , kitumbua wahead.
 
Nani kakwbia Black Americans wanajiita WAafrica.. Wewe unaekaa kwa mtogole unakuja na uongo... Kwa taarifa yako hakuna watu ambayo hawataki uwaambie ni waafrica kama black Americans. Ninawajua vilivyo.

Huyu ni Mayweathe akisema yeye ni black america na sio African

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Kenna anakurupuka sana,
Hata mcheza tennis binti wa Williams aliwahi sema kuhusu kuolewa na mwafrika,
Kifupi hawa jamaa wanapigania umarekani kuliko uafrika,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio mshamba usiejijua , wewe unashindwa kujua kua hizo ni typing error , hata kama ni lofa, sijilambi kwa wazungu na utajiri wa mtu asiejitambua kua yeye ni nani ? Haunisumbui na ni zaidi ya ulofa , kitumbua wahead.
Anza kuvaa ngozi acha kuvaa jeans,
Acha kutumia simu na kusafiri kwa magari ndo tutaona wewe kidume haujilambishi,
Halafu ulivyo mdogo wa Barshite,unasema haujikombi kwa wazungu lkn unaandika kiingereza,
Acha uzuzumaji,kukosoa mabaya yetu siyo kutopenda asili yetu,
Siyo kujikomba kwa wazungu
Ni kipimo cha jinsi gani tunakerwa na wanaouaibisha uafrika,
Ww unajidai kuwapenda black amerika wakati wengi wao hawaichukulii afrika km kwao,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom