TANZIA: Msanii Nipsey Hussle afariki dunia kwa kupigwa risasi

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
7,328
6,591
Rapa kutoka West Coast Nipsey Hussle afariki dunia baada ya kupigwa risasi nje ofisi ya kampuni yake ya nguo ambapo alikuwa yupo akipiga picha na watoto wadogo.

Mpaka sasa inasemekana C.I.A ndiyo wanaohusika maana alikuwa yupo mbioni kufanya documentary ya Dr. Sebi ambaye alikuwa ni daktari mwenye asili ya kiafrika aliyekuwa akitibu UKIMWI, Kansa na Kisukari kwa kutumia dawa za mimea. Dr.Sebi alifariki miaka kadhaa iliyopita na inaaminika pia aliuawa na hawa hawa C.I.A. Alale mahala pema peponi.Na iwe hivyo
Screenshot_20190401-093821~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Victory Lap-Nipsey Hussle
I'm prolific, so gifted
I'm the type that's gon' go get it, no kidding
Breaking down a Swisher in front of yo' building
Sitting on the steps feeling no feelings
Last night, it was cold killing
You gotta keep the devil in his hole, nigga
But you know how it go, nigga
I'm front line every time it's on, nigga
Hunnit proof flow, run and shoot pro
458 drop, playing bullet proof soul
REST IN PEACE NIPPSEY
 
Rapa kutoka West Coast Nipsey Hussle afariki dunia baada ya kupigwa risasi nje ofisi ya kampuni yake ya nguo ambapo alikuwa yupo akipiga picha na watoto wadogo.

Mpaka Sasa inasemekana C.I.A ndiyo wanaohusika maana alikuwa yupo mbioni kufanya documentary ya Dr.Sebi- ambaye alikuwa ni daktari mwenye asili ya kiafrika aliyekuwa akitibu Ukimwi,kansa na kisukari na kwa kutumia dawa za mimea,Dr.Sebi naye alifariki miaka kadhaa iliyopita na inaaminika pia aliuawa na hawa Hawa C.I.A. Alale panapostahiliView attachment 1059881

Sent using Jamii Forums mobile app
YOUNG BLOOD AND BLACK GENERATION ZINAKATA MOTO SANA PANDE ZA TRUMP, MAYBE COZ OF THEIR LIFESTYLE SUCH AS BEEFS, NOTORIOUSNESS NA SOMETIMES UBAGUZI PIAH, NAKUMBUKA MARA YA KWANZA NAMFAHAMU HUYU JAMAA KTK WIMBO WA YG- 4 HUNNID UNAITWA "BITCH AINT SHIT" NDANI ALIKUWA FEATURED TYGA, MWEMBAMBA MREFUU HIVI NA KIPENSI CHAKE KTK HOODS ZA WATU WEUSI WAKISHOOT VIDEO HIYO, APUMZIKE KWA AMANI.
 
Overtime - Nipsey Hussle

Overtime, cause I ain't have a mic
I was in that Chevy playin' Savage Life
Niggas lookin' like I had it wrong
Now them niggas know I had it right
They don't know about them sleepless nights
Them lookin' for a reason nights
They say it's six degrees in life
Opportunity, preparation, made me this nice
 
  • Thanks
Reactions: BAK

JAMAA Victory lap mwaka jana ilikoswakoswa grammy halafu hapo alikua hana label...
 
Rapa kutoka West Coast Nipsey Hussle afariki dunia baada ya kupigwa risasi nje ofisi ya kampuni yake ya nguo ambapo alikuwa yupo akipiga picha na watoto wadogo.

Mpaka Sasa inasemekana C.I.A ndiyo wanaohusika maana alikuwa yupo mbioni kufanya documentary ya Dr.Sebi- ambaye alikuwa ni daktari mwenye asili ya kiafrika aliyekuwa akitibu Ukimwi,kansa na kisukari na kwa kutumia dawa za mimea,Dr.Sebi naye alifariki miaka kadhaa iliyopita na inaaminika pia aliuawa na hawa Hawa C.I.A. Alale panapostahiliView attachment 1059881

Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta habari,badala ya kuleta taarifa ya kifo nawe unaongeza udaku wa akina Shigongo,,eti inaaminika,eti inasemekana sijui CIA ndi wanahusika,nani kakwambia kama sio uzushi na udaku
 
Back
Top Bottom