TANZIA: Msanii Nipsey Hussle afariki dunia kwa kupigwa risasi

Pablo Blanco

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
4,551
Points
2,000
Pablo Blanco

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
4,551 2,000
Rapa kutoka West Coast Nipsey Hussle afariki dunia baada ya kupigwa risasi nje ofisi ya kampuni yake ya nguo ambapo alikuwa yupo akipiga picha na watoto wadogo.

Mpaka sasa inasemekana C.I.A ndiyo wanaohusika maana alikuwa yupo mbioni kufanya documentary ya Dr. Sebi ambaye alikuwa ni daktari mwenye asili ya kiafrika aliyekuwa akitibu UKIMWI, Kansa na Kisukari kwa kutumia dawa za mimea. Dr.Sebi alifariki miaka kadhaa iliyopita na inaaminika pia aliuawa na hawa hawa C.I.A. Alale panapostahili
2025558_Screenshot_20190401-0938212.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
bonvize

bonvize

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2010
Messages
257
Points
250
bonvize

bonvize

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2010
257 250
Najua alishawa mtibia jacko pia left eye lopez.
Yeye anasema km bibble ilivyoandika kuwa mimea ndio dawa na sio haya ya hospital. Anasema a good health menu hutaumwa ugonjwa wowote duniani.
Leo nimeanza diet yake ya kusafisha mwili kwa siku 40. Nitawaletea mrejesho. The guy was genious ....ingawa hakwenda skul

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli na hakuna anayebisha katika suala la kutibu kwa kutumia miti shamba. Tabu ni pale watu wanapotaka tuamini kuwa jamaa alibaniwa na ingali alikuwa akitibu na kufanya mihadhara kwa miaka 40.
 
nanabooty

nanabooty

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2019
Messages
408
Points
1,000
nanabooty

nanabooty

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2019
408 1,000
Najua alishawa mtibia jacko pia left eye lopez.
Yeye anasema km bibble ilivyoandika kuwa mimea ndio dawa na sio haya ya hospital. Anasema a good health menu hutaumwa ugonjwa wowote duniani.
Leo nimeanza diet yake ya kusafisha mwili kwa siku 40. Nitawaletea mrejesho. The guy was genious ....ingawa hakwenda skul

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipm na mm iyo diet..au diet za doctor sebi nianze kula health food na mm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chrismoris

Chrismoris

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Messages
11,228
Points
2,000
Chrismoris

Chrismoris

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2017
11,228 2,000
Jay Z paid Lil Wayne's taxes, fixed Meek Mill up while he was in prison, hired the best immigration lawyers for 21 savage, handled Lil Uzi Vert's contract issues, created a $15m trust fund for Nipsey's kids. If this isn't greatness, I don't know what is.
 

Forum statistics

Threads 1,342,572
Members 514,714
Posts 32,756,222
Top