TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
21,449
41,809
Mwanamuziki huyo wa miondoko ya Hip Hop amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwao Salasala Jijini Dar, mwili umehifadhiwa Hospitali ya Jeshi Lugalo.

Atakumbukwa kwa vibao vyake kama vile Nataka na Kingzilla.

Aidha, Godzilla alijizolea umaarufu na mashabiki wengi kutokana na umahiri wake wa kuimba mashahiri ya papo kwa papo 'Freestyle'.

Inasikitisha sana kuona kijana mpiganaji anatuacha mapema hivi. Upumzike kwa amani Kingzilla, salasala.

Screenshot_20190213-063110_Instagram~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom