TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

Hujawahi kupenda.... Mwanamke umemuandaa,kua mke wako wa maisha... Mkazoeana,mkapanga mipango yenu,halafu anakuja zingua hua ni hatari sana,ndiyo maana wanaume wengi huanza umalaya sana au unavuta hata barmed unaoa tu kwa hasira,matokea yake ndoa inakua ndoana.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbaya zaidi anazingus halafu hakuambii sababu gani iliomfanya azingue tatizo la msongo wa mawazo linaanziaga hapo
 
RIP KingZilla, lakini kama habari hizi zilikuwa ni kweli, basi tangulia tu kiongozi manake ni ufa'la kulilia mwanamke kwa takribani miaka miwili! Kwa Doreen yule yule, au kuna mwingine?!

Ila bhana, inaweza kuwa kweli! Unajua back 2017 inasemekana Zilla dish liliyumba kabisa baada ya kupewa cha mbavu na Doreen, na kwamba sometimes akawa anaongea ongea peke yake! Halafu jana nimemsikia Sister ake akihojiwa na Clouds na katika maelezo yake, Zilla alimwita sister ake mara mbili kwamba akakae nae room kwa sababu alikuwa anaona sijui madude gani sijui! Yaani dizaini kama alikuwa na maruweruwe flani hivi! Sikutaka kuhusisha na issue ya kupewa cha mbavu kwa sababu hili lilitokea kitambo sana na nisingependa kuamini mtu kama Zilla anaweza kulilia uchi kwa miaka 2!
 
Hujawahi kupenda.... Mwanamke umemuandaa,kua mke wako wa maisha... Mkazoeana,mkapanga mipango yenu,halafu anakuja zingua hua ni hatari sana,ndiyo maana wanaume wengi huanza umalaya sana au unavuta hata barmed unaoa tu kwa hasira,matokea yake ndoa inakua ndoana.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatakiwa kujiandaa kisaikolojia mkuu kama mashabiki wachache wa Mpira tunavuokuwa wala hautawahi kuwa na presha. Mpira una matokeo matatu kushinda, kufungwa na suluhu. Mapenzi au ndoa iko vile, kuacha, kuachwa au kuendelea kuishi pamoja hadi mwisho
 
Kuna wakati inatokea kuna kuweweseka binadamu anaweweseka na kifo, tunasema roho ina tapatapa hii hali inaweza dumu hata kwa wiki nzima. Kuna mambo unayafanya mpka ukifa ndio watu wanaanza kusema dah jamaa kama alikuwa anajua atakufa
 
Mwisho wa mwaka tulikuwa na party kwao,mshkaji alikuwa anaonekana kama yuko off hivi kama kuna kitu kinamsumbua,kilichonishangaza zaidi ni pale nlipokuwa nampa ganja anakataa,akawa anakunywa pombe tu.ukiwa na stress ni afadhali ule kush kuliko pombe,anyway ilikuwa party ya kukumbukwa,tuliinjoy na sana,mungu ailaze pema roho ya kijana golden

Duuh..

United Fan
 
Kwa haya maelezo inawezekana amerogwa

Noma

Hamna kurogwa hapo, sukari isikie kwa mwenzako ikishuka unazima bila kujigusa haufeel chochote, ikipanda balaa lake ndio kama hilo lililomkuta godzila, inawezekana kabisa malaria ilitibua sukari yake(alikuwa diabetic na labda alikuwa halijui hilo) sukari ikapanda, pressure ikashuka, kutapika ni effect ya sukari kuwa juu, na hapo lazima tumbo lilikuwa halijatulia, so anataka vitu vya baridi,

nimeishi na diabetic person mara kibao tunamuokoa kwenye kifo unakuta sukari yake inashuka yupo usingizi na ameshazimia kabisa
 
Aliwahi kuhojiwa kuhusu hili...akauliza kwani huyu ndio demu wangu wa kwanza mpaka niwe na stress...huyu jamaa kaondoka sababu ya hiyo sukari na malaria sidhani kama ni issue ya malavidavi
Hujawahi kupenda.... Mwanamke umemuandaa,kua mke wako wa maisha... Mkazoeana,mkapanga mipango yenu,halafu anakuja zingua hua ni hatari sana,ndiyo maana wanaume wengi huanza umalaya sana au unavuta hata barmed unaoa tu kwa hasira,matokea yake ndoa inakua ndoana.....

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tarifa za awali zinasema amefia katika hospital ya Lugalo usiku wa saa tisa, kuamkia leo

Habari zaidi kuhusu chanzo cha kifo chake zitakuijia
Amefia home. Lugalo walimkimbiza wakidhani labda amezimia. Ni inasikitisha mno kifo chake. Kafariki akiwa ameegemea bega la mama yake.
 
Kuna kipindi ni kama alitaka kuchizi kidg..naskia aliachwa na demu wake sijui..bas akawa anaropokwa maneno ya ajabu ajabu...ila mie naamni ni madawa ya kulevya...jaman kama kipaji jamaa alikua nacho
Hujui kitu unapiga kimya. Zilla hatumii madawa. Mimi namjua in & out nilikua naishi near shule ya Green Acres. Na chimbo tulikua naye sana. Alikua ni mgonjwa. Na hata kufariki alifia home. Wakadhani amezimia, wakamkimbiza Lugalo. Madaktari wakasema alishakata moto muda mrefu kabla hata hawajamfikisha hospitali.
 
wee kumbe hajawah tumia madawa ya kulevya!Mwenyezi Mungu amrehemu
 
Nilitamani siku moja nije nisikie jinsi game inavyochange remix labda ungeweza kuonesha hisia zako halisi!!
Najua huwezi kuona ila hata wale waliokuwa wanapambana kukuangusha kimuziki/kimaisha nao wamefika salasala kukuaga bro!!
Afu ckuhz mbona kuna unafiki mnapenda kuuendeleza wa kusema watu vibaya pindi mtu anapofariki..yaani ckuhz msanii akifariki utaskia sjui kina flani walikuwa wanamshusha sjui kina nani walimfanya hivi...acheni unafiki..wote tutakufa na kutofautiana ktk maisha ya kila cku ni vitu vya kawaida
 
Sijapost R.I.P Zilla kwa sababu sijawahi kupost ngoma yake, sijawahi kumuwish birthday, hakuwa rafiki yangu ingawa alikuwa msanii mwenzangu, kwanini leo itokee amefariki ndio nipost R.I. P !? Roho inanisuta”. - Ameyasema hayo Christian Bella.
 
TAARIFA RASMI ZA MSIBA WA GODZILLA (Golden Jacob Mbunda) KIFO: (Kutoka kwa Familia) Godzilla aliugua ghafla majuzi kwa kulalamika anaumwa tumbo na kutapika. Alienda kwenye Zahanati ya jirani na kwao, akagundulika ana Malaria. Wakati ameanza matibabu aliendelea kutapika, na kutokula vizuri, hii ikachangia Sukari kupanda na BP kushuka. Mnamo juzi usiku hali ilibadilika ghafla na wanafamilia wakamkimbiza hospitali ya Lugalo, ambapo ndio alifariki. MSIBA: Msiba upo nyumbani kwao na marehemu, Salasala, karibu na Shule ya Sekondari ya Green Acres. Sio mbali kutoka kituo cha Mbezi Africana. UTARATIBU WA MAZISHI: Wanasubiriwa Ndugu kutoka Mwanza (Kaka wa Marehemu) na ndugu wengine kutoka Songea, na pia kukamilisha Mipango ya kuendesha msiba. Matarajio ni kwa Mazishi kufanyika Siku ya Jumamosi katika Makaburi ya Kinondoni, Dar Es Salaam. Utaratibu wa kuaga Mwili na Misa utatolewa muda muafaka ukiwadia baada ya taratibu husika kutimia. RAMBI RAMBI: . . Michango yote ya Wasanii kutoka kwenye ma-group ya Wasanii inapokelewa na @soggydoggyanter 0754772220 (Anselm Ngaiza), ambayo inajumuisha Hip Hop Community, Umoja Wa Wasanii, Tanzania Urban Music Association (TUMA), nk. Marafiki wa Zillah katika Social Media (Twitter, Instagram, Facebook) wanaweza kutuma mchango kwa namba hizi TIGOPESA 0659421111 Mansour Rashid @papichulo_chuly 0717367673 Webiro Wasira @wakazimusic MPESA . . 0745368485 Webiro Wasira 0769991190 Prince Kessy @esilovey1 Ila kama kuna mtu anataka kutuma mchango peke yake, basi anaruhusiwa kufanya hivyo kupitia Namba ya Mama Mzazi Wa Marehemu. MARY CHARLES MBUNDA 0652810084 KING ZILLAH ALIISHI KAMA MFALME... HEBU TUMPE HESHIMA YA MWISHO NA KUMLAZA KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE KAMA MFALME PIA "Bwana ametoa, Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe" #RIP #ZiZi #KingZillah UKITUMA HELA TUMA NA MSG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom