TANZIA: Mmiliki wa NAF Hotel Mtwara afariki dunia

Mwingereza

JF-Expert Member
Jan 21, 2014
1,110
2,736
Mmiliki wa Hoteli ya kifahari mjini Mtwara (NAF) Ndg. Shebby amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko India alikoenda kutibiwa kutokana na maradhi ya moyo. Waliokuwa karibu na Ndg. Shebby wanadai kwamba siku za hapa karibuni bwana Shebby alikuwa na msongo wa mawazo akilalamika madeni kuongezeka kutokana na kukosa wateja katika biashara yake ya hoteli.

Hoteli nyingi Mtwara zilitegemea sana wageni katika makampuni ya gesi ambapo tangu mwaka jana wameondoka nchini na kurudi makwao.

Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.

Amina.

==================
Habari Zaidi
==================

Mtoa huu Uzi analeta siasa, huyu jamaa ni kweli kafariki lakini, hakufia INDIA, amefia hosptali ya mkoa SOKOINE LINDI.

Amepelekwa juzi usiku baada ya kujisikia vibaya na jana saa 12 asubuhi akaitikia wito wa muumba, RIP BRO SHEBBY!
 
Mmiliki wa Hoteli ya Kifahari mjini Mtwara (NAF) Ndg. Shebby amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko India alikoenda kutibiwa kutokana na maradhi ya moyo. Walio kuwa karibu na Ndg. shebby wanadai kwamba siku za hapa karibuni, Bwana Shebby alikuwana msongo wa mawazo akilalamika madeni kuongezeka kutokana na kukosa wateja katika biashara yake ya hoteli. Hoteli nyingi Mtwara zilitegemea sana wageni katika makampuni ya gesi ambao tangu mwaka jana wameondoka nchini na kuridi makwao.

Mungu Ailaze roho yake mahala pema peponi. Amina !
Gone too soon...!!!RIP Shebby
 
Ukuaji huu Mkubwa wa uchumi utaangamiza wengi sana. Kwa heri Shebby.
 
Msituletee za kuleta, mmiliki wa hii hotel hajafa. Tunamjua vizuri sana labda useme aliyetoa hela zilizotumika kujenga hii hotel alifariki siku nyingi alikuwa ni rais wa kuwait.
Mkuu kama ndivyo hivyo, basi hii nchi ni kiboko.
 
Siku yake ilifika tu wala madeni/hali ngumu haimfanyi afariki. Anway R.I.P business man
 
Mmiliki wa Hoteli ya Kifahari mjini Mtwara (NAF) Ndg. Shebby amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko India alikoenda kutibiwa kutokana na maradhi ya moyo. Walio kuwa karibu na Ndg. shebby wanadai kwamba siku za hapa karibuni, Bwana Shebby alikuwana msongo wa mawazo akilalamika madeni kuongezeka kutokana na kukosa wateja katika biashara yake ya hoteli. Hoteli nyingi Mtwara zilitegemea sana wageni katika makampuni ya gesi ambao tangu mwaka jana wameondoka nchini na kuridi makwao.

Mungu Ailaze roho yake mahala pema peponi. Amina !
Shebby mixer matelephone Poleni wana mtwara boss wangu wa zamaaani
 
Back
Top Bottom