TANZIA Tanzia: Mmiliki wa Kashai Co.Ltd Arusha afariki dunia

Taarifa Mkurugenzi wa Kashai Group companies ya jijini Arusha.
Kashai Security
Kashai Games Loliondo
Mwenye vitalu vya uwindaji Loliondo Bwana Kashai amefariki mapema Leo. Hakika kwake tutarejea alikuwa mfanyabiashara mpenda haki na mcheshi kwa kila mtu

Innahlilah wainnahhlay rajioun

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu tuseme kwa pamoja "innalillah wainnailayh rajiuun"
 
Hakuna atakayebaki chini ya Jua,Apumzike kwa Amani Kashai.
 
Taarifa Mkurugenzi wa Kashai Group companies ya jijini Arusha. Kashai Security.

Kashai Games Loliondo, Mwenye vitalu vya uwindaji Loliondo Bwana Kashai amefariki mapema Leo. Hakika kwake tutarejea, alikuwa mfanyabiashara mpenda haki na mcheshi kwa kila mtu.

Innahlilah wainnahhlay rajioun

Sent using Jamii Forums mobile app
Mazingira ya kifo? Tupatie hata kwa juu juu mkuu kuna data muhimu tunakusanya
 
Back
Top Bottom